Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nadhani anaenda kuwa rais wa Kenya aliyepitia kipindi kigumu saana. Kwanza amechukua nchi kipindi ambacho Dunia nzima inapitia changamoto ya mfumuko wa bei.
Lingine, Raila alishajua anaenda kushinda...Mara vuuupu akaukosa urais. Hasira aliyonayo haielezeki.
Deni nalo linamwandama. Inabidi acheze karata zake vizuri la sivyo nchi inatapakaa.
Tusubiri maandamano ya week inayokuja maana mmoja kajizatiti hakuna maandamano mwingine kashikilia lazima waandamane.