Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Uongozi unatakiwa ukupe furaha na si mateso; kama haukupi furaha ni muhimu kuachia ngazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui Kenya ni ukabila umeshika hatamuKtk watu nimewadharau ni wakenya, upumbavu ule usije kwetu. Kwanini hawajifunzi kutoka nchi zilizoendelea uchaguzi ukiisha ni kufanya kazi. Raila alienda mpaka mahakamani bado haridhiki, yule ana roho ya uchawi anafurahi wenzake wanakufa kwa tamaa zake. Raila ni Shetani mkubwa, Ruto uwe imara
Ushindi wa Magumashi ataendesha kwa tabu sana kama jpmNadhani anaenda kuwa rais wa Kenya aliyepitia kipindi kigumu saana. Kwanza amechukua nchi kipindi ambacho Dunia nzima inapitia changamoto ya mfumuko wa bei.
Lingine, Raila alishajua anaenda kushinda...Mara vuuupu akaukosa urais. Hasira aliyonayo haielezeki.
Deni nalo linamwandama. Inabidi acheze karata zake vizuri la sivyo nchi inatapakaa.
Tusubiri maandamano ya week inayokuja maana mmoja kajizatiti hakuna maandamano mwingine kashikilia lazima waandamane.
Km uliforce sanduku la kura utaipata fresh karmaUongozi unatakiwa ukupe furaha na si mateso; kama haukupi furaha ni muhimu kuachia ngazi
Cha ajabu ukabila wa kenya unazungumzwa na watanzania tuHujui Kenya ni ukabila umeshika hatamu
✍️
Aliipata sana Hayati mwisho akaamua kuwa dikiteta akidhani ndio suluhisho.Km uliforce sanduku la kura utaipata fresh karm
✍️
Raila anataka 'new hand shake'.....anawatumia tu vijana kufikia malengo yake alambe asali.Nadhani anaenda kuwa rais wa Kenya aliyepitia kipindi kigumu saana. Kwanza amechukua nchi kipindi ambacho Dunia nzima inapitia changamoto ya mfumuko wa bei.
Lingine, Raila alishajua anaenda kushinda...Mara vuuupu akaukosa urais. Hasira aliyonayo haielezeki.
Deni nalo linamwandama. Inabidi acheze karata zake vizuri la sivyo nchi inatapakaa.
Tusubiri maandamano ya week inayokuja maana mmoja kajizatiti hakuna maandamano mwingine kashikilia lazima waandamane.
NgombeBaba yenu si mwakabusi au kuna mwingine
Mambo ya kula sijui nini ni ujinga ndio maana Africa inabaki kuwa maskini kula kale kwako sisi tunataka Kazi na maendeleo eti kula sijui vitu gani ujinga mtupuShida ya Ruto ana taka kula peke yake. Wakati awamu zote hula na Raila. Hata wakati wa Mwai Kibaki , Ruto akiwa timu moja na Raila wali kula wote. Hivyo hivyo kwa awamu ya Uhuru. Ila zamu yake, yeye anataka ale mkate wote peke yake. Ngoja akione cha moto na Uroho wake.
Ww unadhani utakula bila kuliwaMambo ya kula sijui nini ni ujinga ndio maana Africa inabaki kuwa maskini kula kale kwako sisi tunataka Kazi na maendeleo eti kula sijui vitu gani ujinga mtupu
Eti kufanya kazi? Trump ameanza kampeini 2021 ficha ujinga, uchaguzi US ni 2024 ila Trump ali announce kugombea uraisi 2022Ktk watu nimewadharau ni wakenya, upumbavu ule usije kwetu. Kwanini hawajifunzi kutoka nchi zilizoendelea uchaguzi ukiisha ni kufanya kazi. Raila alienda mpaka mahakamani bado haridhiki, yule ana roho ya uchawi anafurahi wenzake wanakufa kwa tamaa zake. Raila ni Shetani mkubwa, Ruto uwe imara
Ktk watu nimewadharau ni wakenya, upumbavu ule usije kwetu. Kwanini hawajifunzi kutoka nchi zilizoendelea uchaguzi ukiisha ni kufanya kazi. Raila alienda mpaka mahakamani bado haridhiki, yule ana roho ya uchawi anafurahi wenzake wanakufa kwa tamaa zake. Raila ni Shetani mkubwa, Ruto uwe imara
Simkubali Ruto ila kwa hilo yuko sahihi yeye ndiye aliyeshinda na hajakiuka katiba kutounda seriali na Raila.Shida ya Ruto ana taka kula peke yake. Wakati awamu zote hula na Raila. Hata wakati wa Mwai Kibaki , Ruto akiwa timu moja na Raila wali kula wote. Hivyo hivyo kwa awamu ya Uhuru. Ila zamu yake, yeye anataka ale mkate wote peke yake. Ngoja akione cha moto na Uroho wake.
Mkuu, wewe unadhani nani anafaa kati ya hao waliobaki?Na sisi TZ tuwe na Baba yetu
LisuMkuu, wewe unadhani nani anafaa kati ya hao waliobaki?