Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
- #21
Si katiba hairuhusu kwasasa?Shida ya Ruto ana taka kula peke yake. Wakati awamu zote hula na Raila. Hata wakati wa Mwai Kibaki , Ruto akiwa timu moja na Raila wali kula wote. Hivyo hivyo kwa awamu ya Uhuru. Ila zamu yake, yeye anataka ale mkate wote peke yake. Ngoja akione cha moto na Uroho wake.