Na akili umepewa ili upambane na changamoto zinazojitokeza mbele yako.Tumuachie Mungu ukiona mambo yamekuandama basi unamuachia Mungu
Ruto alipania sana Urais.Nadhani anaenda kuwa rais wa Kenya aliyepitia kipindi kigumu saana. Kwanza amechukua nchi kipindi ambacho Dunia nzima inapitia changamoto ya mfumuko wa bei.
Lingine, Raila alishajua anaenda kushinda...Mara vuuupu akaukosa urais. Hasira aliyonayo haielezeki.
Deni nalo linamwandama. Inabidi acheze karata zake vizuri la sivyo nchi inatapakaa.
Tusubiri maandamano ya week inayokuja maana mmoja kajizatiti hakuna maandamano mwingine kashikilia lazima waandamane.
Amekonda kweliYani amekondaaa
Kumbe sentensi ikiandikwa vile tu moja kwa moja inafuzu kuingia kwenye league?Unataka league?
Jamaa nae alimsumbua sana Kenyatta, afu alikuwa na jeuri balaaRuto alipania sana Urais.
Akaahidi kila kitu.
Utekelezaji sifuri.
Ingawa waandamanaji wengi ni wajaluo.
Lakini hoja zao zinalata nguvu kutokana na ahadi za uwongo wa kupindukia alizotoa Ruto wakati wa kampeni pamoja lundo la vyeo vya fadhila alivyogawa.
Ni ka mwaka tu kamekata.....huwezi ukategemea uchumi wa nchi ujengwe kwa miezi 10.Ruto alipania sana Urais.
Akaahidi kila kitu.
Utekelezaji sifuri.
Ingawa waandamanaji wengi ni wajaluo.
Lakini hoja zao zinalata nguvu kutokana na ahadi za uwongo wa kupindukia alizotoa Ruto wakati wa kampeni pamoja lundo la vyeo vya fadhila alivyogawa.
Na sisi TZ tuwe na Baba yetuWakenya wanakwambia BABA akishasema amna atakae pinga
Apambane sasaNi ka mwaka tu kamekata.....huwezi ukategemea uchumi wa nchi ujengwe kwa miezi 10.
Dunia inapitia changamoto hii kwasasa.....Aliahidi ahadi ambazo kila mwanasiasa anaweza kuahidi.
Baba yenu si mwakabusi au kuna mwingineNa sisi TZ tuwe na Baba yetu
Alivokuwa kabla ya urais na alivo sasa ni tofauti kabisaAmekonda kweli