Si katiba hairuhusu kwasasa?Shida ya Ruto ana taka kula peke yake. Wakati awamu zote hula na Raila. Hata wakati wa Mwai Kibaki , Ruto akiwa timu moja na Raila wali kula wote. Hivyo hivyo kwa awamu ya Uhuru. Ila zamu yake, yeye anataka ale mkate wote peke yake. Ngoja akione cha moto na Uroho wake.
Ligi yann Sasa mkuuUnataka league?
Wakati anaahidi hakujua dunia Ina changamoto??Ni ka mwaka tu kamekata.....huwezi ukategemea uchumi wa nchi ujengwe kwa miezi 10.
Dunia inapitia changamoto hii kwasasa.....Aliahidi ahadi ambazo kila mwanasiasa anaweza kuahidi.
Tatizo lao wote ni walafi na mzee huyo ana nuksi na atakufa bado anaukimbiza uraisHivi na wanamuunga mkono kiongozi nao si wanaweza kuandamana kuwapinga wasiomuunga mkono?
Mbona yule sijui Cabinet Minister. Cheo kile mbona hakipo mwenye katiba ila Rais amemteua baada ya kuunda Umoja wa Kenya kwanza.Si katiba hairuhusu kwasasa?
Kwa ujuaji hawajambo......Nakuhakikishia haya maandamano siyo kwasababu ya maisha. Ni purukushani za ulaji tu.Tatizo lao wote ni walafi na mzee huyo ana nuksi na atakufa bado anaukimbiza urais
Hapo na wanaomuunga mkono Ruto wakiliamsha itakuwa vita ya wao kwa wao
Ila wakenya wanajifanya wajuaji sana
Yeah. Cheo chake hakipo ki katiba. Hivyo hata Raila angemfanyia uteuzi. Na ku mix team yake Bungeni. Coz tofauti ya kura zao ni ndogo.Mudavadi
Nimemskia mara nyingi anasema hakuna kitu kama serikali ya mseto. Handshakes ndiyo ilichelewesha kila kitu.Yeah. Cheo chake hakipo ki katiba. Hivyo hata Raila angemfanyia uteuzi. Na ku mix team yake Bungeni. Coz tofauti ya kura zao ni ndogo.
Atulie sasa. Aonje joto. Asilalamikie Uhuru.Nimemskia mara nyingi anasema hakuna kitu kama serikali ya mseto. Handshakes ndiyo ilichelewesha kila kitu.
Nia yao ni kuiba maduka tu hawana loloteKwa ujuaji hawajambo......Nakuhakikishia haya maandamano siyo kwasababu ya maisha. Ni purukushani za ulaji tu.
Nadhani anaenda kuwa rais wa Kenya aliyepitia kipindi kigumu saana. Kwanza amechukua nchi kipindi ambacho Dunia nzima inapitia changamoto ya mfumuko wa bei.
Lingine, Raila alishajua anaenda kushinda...Mara vuuupu akaukosa urais. Hasira aliyonayo haielezeki.
Deni nalo linamwandama. Inabidi acheze karata zake vizuri la sivyo nchi inatapakaa.
Tusubiri maandamano ya week inayokuja maana mmoja kajizatiti hakuna maandamano mwingine kashikilia lazima waandamane.
ni wabinafsi na wabaguziWakenya wana roho mbaya sana
Ktk watu nimewadharau ni wakenya, upumbavu ule usije kwetu. Kwanini hawajifunzi kutoka nchi zilizoendelea uchaguzi ukiisha ni kufanya kazi. Raila alienda mpaka mahakamani bado haridhiki, yule ana roho ya uchawi anafurahi wenzake wanakufa kwa tamaa zake. Raila ni Shetani mkubwa, Ruto uwe imaraNadhani anaenda kuwa rais wa Kenya aliyepitia kipindi kigumu saana. Kwanza amechukua nchi kipindi ambacho Dunia nzima inapitia changamoto ya mfumuko wa bei.
Lingine, Raila alishajua anaenda kushinda...Mara vuuupu akaukosa urais. Hasira aliyonayo haielezeki.
Deni nalo linamwandama. Inabidi acheze karata zake vizuri la sivyo nchi inatapakaa.
Tusubiri maandamano ya week inayokuja maana mmoja kajizatiti hakuna maandamano mwingine kashikilia lazima waandamane.
Wanaanzaje ?Hivi na wanamuunga mkono kiongozi nao si wanaweza kuandamana kuwapinga wasiomuunga mkono?