William Ruto hana maadili msibani

William Ruto hana maadili msibani

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
1708860286696.jpg

Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kufanya ukiwa msibani wewe ndg William Ruto kimoja wapo ni kuonesha sura ya furaha msibani.
 
Hujawahi Kuona dancing coffin wewe?

Ghana Kuna makabila Yana utamaduni mtu akifa wanamfanyia sherehe wakiamini anaenda kuanza safari mahala pengine

Usipangie watu Cha kufanya
 
Daah kweli wewe Msaga sumu kwenye misiba hii wanaweka pombe za kutosha watu waliokunywa pombe unadhani watakumbuka hata huo Msiba ni wa nani?
 
Umemuona William tu.
Inamaana walitakiwa wawe kaksi kama remote ya magogoni.
 
Back
Top Bottom