MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Feb 25, 2024 #1 Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kufanya ukiwa msibani wewe ndg William Ruto kimoja wapo ni kuonesha sura ya furaha msibani.
Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kufanya ukiwa msibani wewe ndg William Ruto kimoja wapo ni kuonesha sura ya furaha msibani.
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,718 Feb 25, 2024 #2 Kifo ni faradhi. Ulie au ucheke haina maana.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Feb 25, 2024 #3 MSAGA SUMU said: View attachment 2915912 Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kufanya ukiwa msibani wewe ndg William Ruto kimoja wapo ni kuonesha sura ya furaha msibani. Click to expand... Kenyà wana uluga luga na udhungu
MSAGA SUMU said: View attachment 2915912 Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kufanya ukiwa msibani wewe ndg William Ruto kimoja wapo ni kuonesha sura ya furaha msibani. Click to expand... Kenyà wana uluga luga na udhungu
S sanyaji Senior Member Joined Oct 1, 2019 Posts 117 Reaction score 127 Feb 25, 2024 #4 Kwani huo msiba wa Nani?
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Feb 25, 2024 #5 Hujawahi Kuona dancing coffin wewe? Ghana Kuna makabila Yana utamaduni mtu akifa wanamfanyia sherehe wakiamini anaenda kuanza safari mahala pengine Usipangie watu Cha kufanya
Hujawahi Kuona dancing coffin wewe? Ghana Kuna makabila Yana utamaduni mtu akifa wanamfanyia sherehe wakiamini anaenda kuanza safari mahala pengine Usipangie watu Cha kufanya
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Feb 25, 2024 #6 Daah kweli wewe Msaga sumu kwenye misiba hii wanaweka pombe za kutosha watu waliokunywa pombe unadhani watakumbuka hata huo Msiba ni wa nani?
Daah kweli wewe Msaga sumu kwenye misiba hii wanaweka pombe za kutosha watu waliokunywa pombe unadhani watakumbuka hata huo Msiba ni wa nani?
D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,555 Reaction score 5,202 Feb 25, 2024 #7 Namuona mastermind ...godfather yule nyuma kwambali....
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Feb 25, 2024 #8 Umemuona William tu. Inamaana walitakiwa wawe kaksi kama remote ya magogoni.