William Ruto has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars because soon the Dollar will be worthless

Dollar kuondoka ni ngumu sababu wanunuzi wakubwa kutoka China ni hao hao Wazungu, wanampa China Dollar.

Mikopo na misaada hutolewa interms of Dollars, hata mchina anachukua dollar

Ni wehu tu huamini kuwa ni rahisi kuachana na dollar ndani ya siku 1 au 2

Kinachoendelea Kenya ni kuwa wafanyabiashara wamejihami.
Kitachofuata ni mauaji yakutisha kwa wafanyabiashara

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
For the record ,ni nchi gani haitumii Us dollar?
Visa na mastercard Atms zipo duniani kote , ndio njia maarufu ya kupata quick cash, transaction ya hizi Atm zinakuwa calculated interms of dollar.
 
For the record ,ni nchi gani haitumii Us dollar?
Visa na mastercard Atms zipo duniani kote , ndio njia maarufu ya kupata quick cash, transaction ya hizi Atm zinakuwa calculated interms of dollar.
Mbona una-miss point.Yes nchi zilikuwa zinatumia US$,lakini times have changed,and countries are distancing themselves from the dollar kwa sababu nilizo-zisema.Mkuu America is collapsing,whether you like or not,tena it is being destroyed by design.
 
Hakuna nchi isiyotumia dollar katika transaction zake , acha story za kusadikika
Nitajie moja tu, huyo Ruto kutapatapa kote ni vile hana dola za kufanya matumizi muhimu kama kununua mafuta.
 
Hakuna nchi isiyotumia dollar katika transaction zake , acha story za kusadikika
Nitajie moja tu, huyo kutapatapa kote ni vile hana dola za kufanya matumizi muhimu kama kununua mafuta.
Nadhani tuachane,umelishwa matango mwitu mno.Wame-lock ubongo wako na wameondoka na password,huwezi kuelewa anything different from what your handlers have fed you. You are obviously suffering from Mass Formation Psychosis,ni wa kuhurumiwa tu,pole.
 
Matusi ni ishara ya kuishiwa hoja , ,Zunguka dunia , ili ufungue akili, ndo utajua Usa ni dubwana la aina gani.
 
Matusi ni ishara ya kuishiwa hoja , ,Zunguka dunia , ili ufungue akili, ndo utajua Usa ni dubwana la aina gani.
Dah,sawa Bwana endelea kudanganywa na the Empire of Lies.This👇is what Ruto knows and you do not know

Dah,sawa Bwana endelea kudanganywa na the Empire of Lies.
Mimi nakusihi Tembea dunia , utafungua sana uelewa wako .
Leo hii google ambayo nina uhakika unatumia, ina uwezo wa kutambua sauti hadi sura yako , na zinaweza kutumika kama reference should you misbehave.hii ni mipango ya kijasusi ya kimarekani ambayo hadi uje kujua tayari wenzako hawapo hapo.
China anatengeneza simu , lakini bila Google , simu zake ni useless.
 
Ili iweze kumuelewa Ruto na what is about to befall the once mighty US$ ,please follow the following link.Kama nilivyokwisha kuambia, the demise of the once mighty US$ is immitent,prepare,do not bury your head in the sand,huu ni ushauri wa bure,ukishupaza shingo itavunjika.

Yeye anaenda kumfuga ng'ombe,ata zaa huenda akamuuza baadae pindi ambapo thamani ya fedha itakuwa nzuri.
 
Kujaribu kuendelea kukusaidia ili uuone ukweli uliopo kwenye ushauri wa Ruto hebu sikiliza clip ifuatayo.

Saudi hadi kesho inategemea dola za msaada acha za kuuza mafuta, huu mkwara mbuzi Marekani huwa hajibu! Nchi zote zinazonunua mafuta zinasaka dola kwanza ndo ziende Uarabuni kununua, why wasize kwa sarafu zao walizoziinfletisha sana, hela ya UAE ina value kubwa ya kutisha lkn hainunui nje hadi asake dola! Hebu rudi kwenye mind yako na ujue maombi yako hata ya kufunga na kukesha utakufa njaa bure na dola itakuwa juu hadi unaaga dunia, probably hadi wajukuu wako hawataona dola imeanguka!

Ruto hana tofati na magu, wana/liishi on dreams na hate!
 
Benki kenya hazina dola na watu kwa kulijua hilo wanaficha kwa matumizi yao muhimu .
Huo ni mkwara ili wazitoe ziingie kwenye mzunguko,
This was my very first impression.

Ruto anataka dollar zirudi mtaani ndo maana anawatia ujinga wakenya wenzake.
 
Unayozungumza yote ni History,the situation has changed.This is the new reality👇.

Everything that goes up must come down.
Correct brother,we had many empires before us,but they are no more.We have reached the end of the American Empire,it too will go.Infact it has all the characteristics of an Empire in decline.
 
Mzee mna ndoto za alinacha wewe na Ruto yaani nisuse dollar zangu kwa utabiri wenu,mbona yeye za kwake kazificha uswisi???🤣🤣🤣 Mimesoma viambatinishi vyako nikijua ni vya kisomi,ila nilipokiona hicho saudia na title yake basi nikajua mrengo wako.Takbir dua la kuku halimpati mwewe
 
Sio leo wala kesho, tuhesabu vizazi kadhaa mbele
You are burrying your head in the sand,the facts on the ground tells it all.

Lakini mbona mnaitetea sana US,tena such an evil empire.Lazima mtakuwa na an unhealthy relationship nayo.Au wewe ni sehemu ya wale wa Mwakyembe!?
 
Attachments

  • VID-20230328-WA0000.mp4
    12.9 MB
  • VID-20230328-WA0001.mp4
    10.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…