Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Sasa mkuu kweli tuache dola tunazoletewa na disapora kisa ushauri wako.Na kama upo above religion sasa neno ""Evil""ndio kitu gani ulimaanisha???Ungejua mimi sina njaa na I am above religion.Halafuu,usingekuwa na njaa ungekuwa karai la zege la Marekani,tena katika uovu?You don't know what you are talking about.