William Ruto has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars because soon the Dollar will be worthless

Correct brother,we had many empires before us,but they are no more.We have reached the end of the American Empire,it too will go.Infact it has all the characteristics of an Empire in decline.
Wewe una chuki binafsi sababu hauna dollar kama sisi au umepumbazwa na udini wa mashariki ya kati.
 
You are burrying your head in the sand,the facts on the ground tells it all.

Lakini mbona mnaitetea sana US,tena such an evil empire.Lazima mtakuwa na an unhealthy relationship nayo.Au wewe ni sehemu ya wale wa Mwakyembe!?
Sasa mkuu ulitaka tuitetee Iran au Urusi??????Ndugu zetu wote wapo USA,na hela zetu tunapiga kutokea USA wewe ulitaka tuitetee Irana au Urusi wakati hatuna michongo huko.MKONO MTUPU HAULAMBWI MKUU😂😂😂
 
Sasa mkuu ulitaka tuitetee Iran au Urusi??????Ndugu zetu wote wapo USA,na hela zetu tunapiga kutokea USA wewe ulitaka tuitetee Irana au Urusi wakati hatuna michongo huko.MKONO MTUPU HAULAMBWI MKUU😂😂😂
Unapiga hela kutoka US,how.The Mwakyembe style👇?Hela chafu kabisa.Ila hata kama unapiga hiyo hela haramu kutoka US,ni lazima ukubali facts on the ground,because that is soon coming to an end,so you are obliged to make alternative plans.
 
Attachments

  • VID-20230328-WA0000.mp4
    12.9 MB
  • VID-20230328-WA0001.mp4
    10.5 MB
You are burrying your head in the sand,the facts on the ground tells it all.

Lakini mbona mnaitetea sana US,tena such an evil empire.Lazima mtakuwa na an unhealthy relationship nayo.Au wewe ni sehemu ya wale wa Mwakyembe!?
Wewe hauna hela,especially dollar na umepumbazwa na story za kwenye miadhara ya kidini ambapo mtu asipokuwa na imani yenu basi ni evil,s kwa mtazamo wenu wa chuki na udinikutoka mashariki.Hivi ushawahi kumiliki dollar wewe?????Mpaka utuambie dollar zetu tuachane nazo wakati Ruto dollar zake kaficha Geneva.
 
Unapiga hela kutoka US,how.The Mwakyembe style?
Tatizo mkuu nadhani wewe fukara kichwani na hauna hela na haujui biashara bali unajua majungu na ubaguzi wa kidini wa kimashariki umekukaa na elimu yako ukizidi sana umeishia degree.Yaani sisi unataka utushauri kuhusu dollar wakati wewe hata hapo ulipo dola elfu tano huna na huyo Ruto dollar zake kaficha Geneva.Ingia ule uzi wa dissapora wa mwanangu@Bufa.Utaona jinsi gani sisi tunanufaika kibiashara na USA.Story hizo peaneni makapuku ambao amna michongo ya kupiga hela kimataifa.
 
Unapiga hela kutoka US,how.The Mwakyembe style👇?Hela chafu kabisa.Ila hata kama unapiga hiyo hela haramu kutoka US,ni lazima ukubali facts on the ground,because that is soon coming to an end,so you are obliged to make alternative plans.
Utakufa wewe marekani utaiacha.Afu mkuu una roho mbaya inaonyesha hata madogo wanaopambana kuingia NBA kutokea bongo wewe ungewakatisha tamaa kwa chuki zako za kimashariki.Mkuu wewe umezaliwa tehran nn👀👀👀
 
This is an illusion.Grasp the facts and act fast.Huu ni ushauri wa bure,Fiat currency sio medium of exchange,it is rubbish.Inflation bubble ukisha burst,it is over.Wekeza in real assets,hiyo ndiyo akili.
 
Mkuu njaa na ukichanganya udini 🤣🤣🤣😂😂😂😂Utadata.Evil ni wewe mwenye kurithi ubaguzi wa mashariki.Hujawahi kushika dollar afu unatushauri kuhusu dollar??????Upo seriously kweli na maisha wewe
 
Duh,an American Zombie indeed,kwaheri.Unaitetea Marekani kama baba yako mkuu,ajabu sana.There is surely an unhealthy relationship.
 
This is an illusion.Grasp the facts and act fast.Huu ni ushauri wa bure,Fiat currency sio medium of exchange,it is rubbish.Inflation bubble ukisha burst,it is over.Wekeza in real assets,hiyo ndiyo akili.
Huna hela mkuu🤣🤣🤣🤣wewe udini wa mashariki ya kati umekujaa na chuki binafsi dhidi ya wamagharibi na wewe ndio evil kutushauri uongo hapa JF.
 
Mkuu njaa na ukichanganya udini 🤣🤣🤣😂😂😂😂Utadata.Evil ni wewe mwenye kurithi ubaguzi wa mashariki.Hujawahi kushika dollar afu unatushauri kuhusu dollar??????Upo seriously kweli na maisha wewe
Ubaguzi wangu uko wapi hapo,kusema ukweli na kukushauri,tena vizuri.Intelligent people all over the World sees it thanks t way,Sasa wewe unachokataa ni nini.Kwani BRICS imeundwa kwa sababu gani,si sababu hizo hizo,wake up,times have changed,the US$ is no more.
 
Unapiga hela kutoka US,how.The Mwakyembe style👇?Hela chafu kabisa.Ila hata kama unapiga hiyo hela haramu kutoka US,ni lazima ukubali facts on the ground,because that is soon coming to an end,so you are obliged to make alternative plans.
Mwakyembe is petty politician,used petty issue to get popularity for his own ajenda.Mbona vitu vya msingi kama uchumi au ukosefu wa ajira au katiba mpya havizungumzii
 
Wewe hujawahi kushika dollar na hauna hela inaonyesha bado upo chuo.Au kiwango chako cha elimu umeishia degree.Unajua maana ya neno Evil wewe????
 
Mwakyembe is petty politician,used petty issue to get popularity for his own ajenda.Mbona vitu vya msingi kama uchumi au ukosefu wa ajira au katiba mpya havizungumzii
Unajua Sodoma MUNGU aliiangamiza kwa sababu gani,Sodomy.So that is key.Sodomy inaleta laana kwa Taifa,so it is urgent and must be adressed quickly.
 
Mkuu njaa na ukichanganya udini 🤣🤣🤣😂😂😂😂Utadata.Evil ni wewe mwenye kurithi ubaguzi wa mashariki.Hujawahi kushika dollar afu unatushauri kuhusu dollar??????Upo seriously kweli na maisha wewe
Ungejua mimi sina njaa na I am above religion.Halafuu,usingekuwa na njaa ungekuwa karai la zege la Marekani,tena katika uovu?You don't know what you are talking about.
 
Go back and read my comment again usikurupuke. 'Ruto knows something you dont' ooooh Man, is Ruto not a politician? [emoji23]

Any way you know nothing of what is going on.
Continue burrying you head in the sand.Anyway fuata link ifuatayo labda akili yako itafunguka.

UBABE WA MAREKANI KIUCHUMI DUNIANI

Tuko nyuma sana kiuchumi, kisiasa na kimaendeleo, twajadili kinadharia kuliko hali halisi ilivyo. Tunapiga kelele sana, wakati huo wamarekani wapo kimya na kutumia akili na teknklojia.

Uwekezaji mkubwa wa Marekani katika mtandao wa kiuchumi duniani sio wa kuuvunja kirahisi hivyo.

1. Bank zote duniani value ya pesa huwa translated kwa dollar
2. Financial institute ya Marekani ndiyo inayohusika katika miamala ya bank zote kuhamisha na kupokea pesa duniani
3. Mitandao (networks)mikuu duniani imeanzishwa na wamarekani na ndio inayoiongoza dunia kiuchumi na kwa kila kitu na sio tiktok.
4. Uchumi wa Marekani uliongeza nguvu zaidi katika utawa wa Bill Clinton kwa kufungua wigo kibiashara na viwanda kwa kuruhusu mataifa ya kigeni kujenga viwanda nchini Marekani. Kuna viwanda vya Wachina, Wajapani, wakorea, wajerumani, wafaransa, waingereza, warusi etc.

Moja ya viwanda ambayo nilishawahi kuajiriwa ambavyo ni vya kimataifa chini Marekani ni
1) World Color kampuni ya uchapishaji duniani makao makuu yako jimbo la Qwebecor, Canada na supplier wa mitambo ya robot (robotic interface systems) katika uchapaji ni mjerumani, ikikorofisha wajerumani wanakuja kuweka sawa.

2) North America Nissan Manufactuaring, nilifanya makao makuu Smirna kiwanda Chenye uwezo wa kuzalisha magari 1,200 ndani ya saa 24, Tennessee, hiyo ni kampuni ya kijapani, unapoingia hapo kitandani kuna bango kubwa limeandikwa, "YOU ARE ENTERING THE FOREIGN TRADE ZONE."

Bidhaa za viwanda ili kupata soko nchini Marekani yenye wastani wa watu zaidi ya 300 milioni, lazima ujenge viwanda vya kuzalisha bidhaa nchini humo, una import raw material kuendesha viwanda na sio products

Kwa mantiki hiyo kuua uchumi wa Marekani ni kuua uchumi wa dunia ambao Marekani ni egemeo la wenzo jambo ambalo sio jepesi.

Mafuta anayojivunia mwarabu wawekezaji wakuu katika makampuni ya Mafuta ni matajiri wa Marekani.

Haya yote mnayoona na Ruto anavyohadaika ni kutapatapa kwa Mrusi maana aliingia kichwakichwa kwenye vita ya Ukrane akifikiri ataimaliza nchi hiyo kwa wiki moja, lakini kinachoendelea vita hiyo imekuwa gunia la musumari ambayo Urusi imejitwika, na sasa anatapatapa na hizi propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…