Mponjoli
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 668
- 158
Kumbe na wewe umemezwa na mawazo ya viongozi wako wakatili wa Africa? Mimi kama Mwafrika, kiongozi mweusi au mweupe, tajiri au maskini akiuwa watu anatakiwa apewe haki yake. Kwamba mweusi asipelekwe mahakamani kwa sababu mweupe hajapelekwa kwangu siyo issue. Kama mweusi amefanya kosa na yuko mahakamani ni haki kubwa sana kwa watu weusi, siwezi kuwasemea weupe.

