Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 855
- 2,264
Kwa mtazamo huu hatuwezi kuelewana.Asante..wapinzani kina nani?
Walikuwa wakipinga jambo lipi? Tuanzie hapo mkuu
Kuna mambo mengine hata wapinzani wakikaa na kutafakari kwa yale huwa wanapinga, mengine hubaki kujiona ni wajinga
Ila hili la bandari, niko upande wao, ije mvua lije jua, mkataba haufai