William Rutto kumbe naye ni wa ovyo ovyo tu

Mjinga aki ishiwa hoja hutumia matusi na kejeli kama silaha ya kujilinda.

Huwezi kujenga hoja wewe, unahamisha mada una ingiza ushoga. Bila shaka wewe ndio shoga una firimbwa huko nyuma.

You are not mentally enough to argue with me.
Of course I can't argue with a shithole!
 
Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!

Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.

Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe ni wale wale tu.

Wapatapo madaraka wanageuka na kuwa viumbe vya ajabu kabisa.

Ruto anacheza na moto. Anaulamba moto kwa ulimi.

Not good at all.

How do you seal this that way? Maana hata Uhuru namuona anajiuliza maswali tu hapo na ku speculate lakini hana uhakika hasa hao watu ni wakina nani.
 
Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!

Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.

Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe ni wale wale tu.

Wapatapo madaraka wanageuka na kuwa viumbe vya ajabu kabisa.

Ruto anacheza na moto. Anaulamba moto kwa ulimi.

Not good at all.

Huenda Ruto ama hana washauri sahihi au hashauriki.
 
Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!

Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.

Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe ni wale wale tu.

Wapatapo madaraka wanageuka na kuwa viumbe vya ajabu kabisa.

Ruto anacheza na moto. Anaulamba moto kwa ulimi.

Not good at all.

"Avaaye asijivune kama avuaye".

Unamtukanaje mamba kabla ya kuvuka mto?
 
Back
Top Bottom