Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 855
- 2,264
Kwa mtazamo huu hatuwezi kuelewana.Asante..wapinzani kina nani?
Walikuwa wakipinga jambo lipi? Tuanzie hapo mkuu
Kuna mambo mengine hata wapinzani wakikaa na kutafakari kwa yale huwa wanapinga, mengine hubaki kujiona ni wajinga
Ila hili la bandari, niko upande wao, ije mvua lije jua, mkataba haufai
Unadhani kila aliyepo hapa yupo Tanzania?Hama nchi uende kwa mabwana zako wazungu au waarabu!
Vipi uko huko unabeba mabox!!? Sisi tulikuwa huko tukaamua kurudi TZ kuja kujenga nchi yetu. Najua unaendelea kubaguliwa huko kama ngedere tu wewe!!Unadhani kila aliyepo hapa yupo Tanzania?
Hao wazungu na waarabu ndio walio kusaidia mpaka ulipo sasa na bado mna wahitaji waje kuwa ongozea bandari yenu.
Endelea kukamuliwa tozo na wajanja.
Ogopa sana viongozi wanaojidai kuwa na hofu ya Mungu. Ni wanafki kupitiliza.
Magufuli, Ruto, Samia
Just to mention the few.
Nchi yenu ingekuwa mnaijenga mngeomba usaidizi wa kuendeshewa bandari?Vipi uko huko unabeba mabox!!? Sisi tulikuwa huko tukaamua kurudi TZ kuja kujenga nchi yetu. Najua unaendelea kubaguliwa huko kama ngedere tu wewe!!
Cheo ni dhamana siyo tikiti ya kusema au kutenda ya ubinafsi. Cheo hakimwondolei mhusika tabia yake binafsi km ni "school failure" mlevi, mzinzi, mwongo nk ataendelea na tabia hiyo akitumia mamlaka na madaraka ya cheo chake kuimarisha tabia hiyo.Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!
Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.
Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe ni wale wale tu.
Wapatapo madaraka wanageuka na kuwa viumbe vya ajabu kabisa.
Ruto anacheza na moto. Anaulamba moto kwa ulimi.
Not good at all.
Wakati mwingine napata ugumu wa kumlaumu Ruto, nyuma ya pilipilka zote sinazoendelea Kenya zinaratibiwa na Odinga kwa kushirikiana na Uhuru! Lengo ni kumkomoa tu na kumvurugia mipango yake!Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!
Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.
Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe ni wale wale tu.
Wapatapo madaraka wanageuka na kuwa viumbe vya ajabu kabisa.
Ruto anacheza na moto. Anaulamba moto kwa ulimi.
Not good at all.
Wapambe wa Rutto wanaofanya haya wanazidi kumharibia badala ya kusaidia.Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!
Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.
Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe ni wale wale tu.
Wapatapo madaraka wanageuka na kuwa viumbe vya ajabu kabisa.
Ruto anacheza na moto. Anaulamba moto kwa ulimi.
Not good at all.
Tena angemchinja kabisaInaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!
Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.
Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe ni wale wale tu.
Wapatapo madaraka wanageuka na kuwa viumbe vya ajabu kabisa.
Ruto anacheza na moto. Anaulamba moto kwa ulimi.
Not good at all.
Kwa hiyo mtu akitoa maoni wewe unaona ni vema akihama nchi?Huo ubwege utaacha lini?Jinga wewe.Hama nchi uende kwa mabwana zako wazungu au waarabu!
Aende taratibu asipoangalia afiki hata half timeNi lazima atumie hiyo njia, kudhihirisha ni nani yupo kwenye 'power'; mstaafu amejisahau kama alishastaafu.
Ukishastaafu, 'power' pia inaondoka; waswahili wanasema kuchomolewa betri.
Aende taratibu asipoangalia afiki hata half time
Jicho lako la mwewe, nilikuwa namwambia mke wangu hivi hivi kwa lugha tofauti.ghafla nafungua jf nakuta bandiko hili.Sijui hii sajili ya kiarabu inataka kuchafua hali.NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NAONA KAMA KUNA JAMBO SIO ZURI LINAJONGEA
Jinga mzazi wako. Shithole.Kwa hiyo mtu akitoa maoni wewe unaona ni vema akihama nchi?Huo ubwege utaacha lini?Jinga wewe.
Wewe umejenga nini huko uliko? Au umekalia ushoga tu!!?Nchi yenu ingekuwa mnaijenga mngeomba usaidizi wa kuendeshewa bandari?
Kila siku misaada na mikopo ina sainiwa na Rais kuletwa hapo nchini, mna kipi mlicho kijenga ninyi?
Kazi yenu ni pombe, ngono na kubishana Simba na Yanga wala hakuna muwezacho.