Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Sio kweli kabisaJPM alimlambisha asali hili libabu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kabisaJPM alimlambisha asali hili libabu!
Wao wenyewe eti wanasema siku hizi majuto keshakuwa babu profesa mwenye familia yake na wajukuu.Na majuto siku zote ni mjukuu.
Wewe unadhani mtu mnafiki Huwa anabadilika?!We angalia hoja zake….acha ulofa!
Ubalozi alipewa akiwa Chadema?Sio kweli kabisa
80% wajumbe au Jf members?Uchaguzi wa bongo ni balaa, 80% na zaidi wanamkubali Lissu ila utashangaa Mbowe anapita nazo
Slaa aliondoka CHADEMA kwa kitendo cha mbowe kumkaribisha Lowassa kwenye chama na kwa mujibu wa Slaa alisema Lowassa Ni fisadi na hayupo tayari kuwa mnafiki kwa mtu ambaye alishamkataa miaka 9 hapo kabla Sasa nikuulize Kati ya mbowe na slaa Nani alikuwa msaliti wa chama?Huyu slaa aliyepewa cheo na mwendazake baada ya kukisaliti chama ktk wakati mgumu wa kuelekea ktk uchaguzi mkuu na kwenda Canada kula Bata ndiye wa kuamini kweli hacheni miZaa bwana