Willy Gamba, Hofu, Njama, na E MUSIBA, Mnakumbuka Enzi Hizo?

1. Ni kama vile Musiba alikuwa uwt.....maana mtiririko unaonyesha ni mtu anayejua masuala ya kipelelezi
2. Hata kama ni hadithi bado vitabu vyake vilikuwa vinatujengea uzalendo fulani
3. Vilituaminisha uwt ndio mambo yote

Hivi kina Musiba family hawawezi kufanya machapisho mapya???
 
Mie sitii neno hapa.
Nilitaka kuja na story yangu kali wiki hii ya kuhusu ukombozi dhidi ya madawa ya kulevya Tanzania lakini itabidi nisubili kwanza maana hii nimeipenda sana.
 
Ahsante Mkuu kwa kutukumbusha hizi tamthilia, kasheshe ilikuwa KUFA NA KUPONA jamaa anakupeka na kukupa ramani ya Nairobi hata kama hujawahi kwenda huko!!!!

 
Hahhahaaa nimefurahi sana ila pia nimeumia sana nikiona saa hizi akina nani yule shigongo na hadithi zake za kukopi na kupesti
 
hapo ndio ujue kuwa binadamu anakuwa judged na matendo yake.
Ameishi maisha mafupi (1950-2010) lakini unaweza kuona kazi zake zinamfanya aonekane anaishi leo hii na huenda hata miaka 70 kutoka sasa ikaendelea kuwa hivyo.
Wengi huenda tukaishi hata zaidi ya huyu mtu lakini tusiwe na la kuacha nyuma yetu ili kukumbukwa hata miaka miwili baada ya kuondoka.
All in all huyu bwana inaelekea alikuwa vizuru upstairs.

 
Mie sitii neno hapa.
Nilitaka kuja na story yangu kali wiki hii ya kuhusu ukombozi dhidi ya madawa ya kulevya Tanzania lakini itabidi nisubili kwanza maana hii nimeipenda sana.

CHAI CHUNGU
Ahadi ni deni
 
Last edited by a moderator:
utaendelea lini mkuu? Nimeacha kazi zote
 
umenikumbusha mbali sana!! cjui nitavipata wapi tena vitabu vyake!!
 
Mie sitii neno hapa.
Nilitaka kuja na story yangu kali wiki hii ya kuhusu ukombozi dhidi ya madawa ya kulevya Tanzania lakini itabidi nisubili kwanza maana hii nimeipenda sana.

mkuu tunasubiri hiyo stori kwa hamu.
 
This is a very good idea.Tunaweza kupata kitabu cha Tafrija ya Damu? (Simkumbuki writer vema) lakini toka nimekisoma hakitoki kichwani mwangu. Any one with a clue please.

Tafrija ya damu cha Jackson Kalindimya...bonge la kitabu loh
 
Halafu wanamsingizia eti alidesa riwaya za James Hadley Chase na Agatha Christie!

Agatha Christie hapana Chase ndio, na Fleming kiasi ila unaweza kusema movies za James Bond kuliko vitabu vya Fleming (as you know even Fleming books sucks, movies are better).., ila ndio hivyo exposure ya mwandishi hata kama akichukua plots kidogo kutoka huko lakini dialogue na vionjo vya kibongo bongo they are unique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…