Viongozi wa vyama pinzani wenyenia ovu na uchaguzi huu washafahamika,wakijaribu wanapigwa spana.
Kwi Kwi Kwi
Hajielewi huyo we waache tu waishi kwa mazoea yawakute ndiyo wataelewa.Najaribu kuwaza, Mahera anafahamu madhara binafsi anayo weza kukumbana nayo ikiwa uchaguzi huu utaharibika?
Anafahamu hatari ya kujikuta maisha yake yaliyobaki kuyamalizia gerezani na kuacha familia yake ikimlilia?
Je, anajua kuwa huyo anayetumia nguvu nyingi kumtengenezea mazingira haramu hatakuwa naye na atamkana kuwa hakumuagiza aliyofanya?
Kweli shetani akikuingia jambo la kwanza anakuvua akili na kukuachia fuvu tupu
Machafuko yanini bwashee?Mahera anaua soo baaada ya ushenzi wa tume kuwekwa hadharani. Hicho anachoagizwa kufanya kitampeleka pabaya. Aache mshindi halali apatikane, vinginevyo machafuko yako wazi peupe.
Mahera huyu aliesema watu hawataki MTU ataeuza madini? Yaani anatoa hoja kama hiyo mbele ya kamera? Refa anadai mchezaji mmoja atashinda! Yaani anaongea kama Yuko kijiweni, maana huko kila MTU anaonyesha mahaba yake Kwa mgombea wake. Mahera ataliingiza hili Taifa kwenye shida kubwa.
Hili Kurugenzi jinga saana kuna taharuki mbaya zaidi ya kuwaengua wagombea wa Ubunge na Udiwani (Upinzani) zoezi lilofanywa na wasimamizi wa uchaguzi majimboni? hili likurugenzi linataka kutudanganya kuwa ili zoezi la kuwaengua wagombea kwa maelekezo ya kutoka juu alikuleta taharuki. Jinga saanaMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Machafuko yanini bwashee?
embu acheni kufikiria machafuko fikirieni amani kwanza.
twendeni taratibu kama mabadiliko yatakuja na yataletwa na CCM.taratibu tu tutafika bwashee mnapopataka.
Punguza misimamo.Kama ni mabadiliko yalipaswa yawepo mpaka sasa. Huu uvumilivu wa wapinzani ndio wamegeuzwa mafala. Machafuko tu ndio huleta mabadiliko ndani ya Afrika.
Yani umekaa chini ukajipinda kabisa kuandika ushubwada wako hapa. Kilakukicha mnazua mambo utafikiri wake wenza ambao sanadai taraka. Tulizeni midomo yenu. Msituchoshe na vijambo vya kizushi ambavyo mkiombwa ushahidi hamna. Tuliwashauri kama mnadhani tume siyo huru msishiriki uchaguzi mkagoma. Sasa kila kukicha mna anticipate matatizo hewa.Naona NEC wamebanwa vilivyo na sasa wanajiandaa kuuweka mpira kwapani
Tuliwaambia tangu awali mwaka huu mtoto hatumwi dukani na hakuna njama mtakayopanga ambayo haitawekwa wazi.
Mmeengua wagombea wa upinzani, mkafanya kurudisha baadhi na bado hamkuwapa barua, mmefungia wagombea wa upinzani kufanya kampeni, mkakataa kuwaapisha mawakala wa upinzani na mbaya zaidi baada ya mbinu zenu za hovyo za kuongeza vituo vya kupiga kura na wapiga kura hewa kubumbuliwa mnajifanya mnajikosha kuwa ni njama za wapinzani kuwachafua.
Niwaambie tu NEC, hakuna rangi mtaacha ona mwaka huu, hakuna uovu mliopanga ambao haujulikani na hautajulikana. Pona yenu mwaka huu n kuruhusu uchaguzi huru na wa haki tu.
Mmeshikwa vibaya sana mwaka huu na kwamwe hamtoki.
Tanzania imeshaamua ni Tundu Antiphas Lissu na Maalim Seif tu!!
Waliongeliwa maana yake walikosa sifa za kisheria katika kuteuliwa.Vipi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani bara na visiwani? Vipi kuhusu mafakechee katika kuwaapisha mawakala wa upinzani nchi nzima?
Punguza misimamo.
Waliongeliwa maana yake walikosa sifa za kisheria katika kuteuliwa.
Huu upole ni kwa hisani ya nani sijui?Machafuko yanini bwashee?
embu acheni kufikiria machafuko fikirieni amani kwanza.
twendeni taratibu kama mabadiliko yatakuja na yataletwa na CCM.taratibu tu tutafika bwashee mnapopataka.
Waliongeliwa maana yake walikosa sifa za kisheria katika kuteuliwa upVipi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani bara na visiwani? Vipi kuhusu mafakechee katika kuwaapisha mawakala wa upinzani nchi nzima?
Umeshambiwa wapinzani wa bongo ni magumashi bado wee inaendelea kuwamini itakula kwako amka nakuona uko usingizini. Kama viongozi wakubwa wachama wanashindwa kuelewana Sasa we unashanga hao wadogo kukosea taratibu za kisheria. CCM chama kubwa wanataratibu za kusimamiana na kuelekezana kwa kila hatua. Mfano tuliona kwenye ujazaji wa form Yani ulikuwa utopolo mtupu utafikiri chama hakina viongozi wa kuwasimamia viongozi wao.Wapinzani tu ndio wanakosea hizo sheria? Bila machafuko ni nadra watawala wa kiafrika kuheshimu chaguzi za haki.