Uchaguzi 2020 Wilson Mahera: Kuna Viongozi wa Vyama vya siasa ambao wamejipanga kuharibu Taswira ya Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Wilson Mahera: Kuna Viongozi wa Vyama vya siasa ambao wamejipanga kuharibu Taswira ya Uchaguzi Mkuu 2020

Viongozi wa vyama pinzani wenyenia ovu na uchaguzi huu washafahamika,wakijaribu wanapigwa spana.

Mahera anaua soo baaada ya ushenzi wa tume kuwekwa hadharani. Hicho anachoagizwa kufanya kitampeleka pabaya. Aache mshindi halali apatikane, vinginevyo machafuko yako wazi peupe.
 
Najaribu kuwaza, Mahera anafahamu madhara binafsi anayo weza kukumbana nayo ikiwa uchaguzi huu utaharibika?

Anafahamu hatari ya kujikuta maisha yake yaliyobaki kuyamalizia gerezani na kuacha familia yake ikimlilia?

Je, anajua kuwa huyo anayetumia nguvu nyingi kumtengenezea mazingira haramu hatakuwa naye na atamkana kuwa hakumuagiza aliyofanya?

Kweli shetani akikuingia jambo la kwanza anakuvua akili na kukuachia fuvu tupu
Hajielewi huyo we waache tu waishi kwa mazoea yawakute ndiyo wataelewa.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Mahera huyu aliesema watu hawataki MTU ataeuza madini? Yaani anatoa hoja kama hiyo mbele ya kamera? Refa anadai mchezaji mmoja atashinda! Yaani anaongea kama Yuko kijiweni, maana huko kila MTU anaonyesha mahaba yake Kwa mgombea wake. Mahera ataliingiza hili Taifa kwenye shida kubwa.
 
Mahera anaua soo baaada ya ushenzi wa tume kuwekwa hadharani. Hicho anachoagizwa kufanya kitampeleka pabaya. Aache mshindi halali apatikane, vinginevyo machafuko yako wazi peupe.
Machafuko yanini bwashee?
embu acheni kufikiria machafuko fikirieni amani kwanza.
twendeni taratibu kama mabadiliko yatakuja na yataletwa na CCM.taratibu tu tutafika bwashee mnapopataka.
 
Mahera huyu aliesema watu hawataki MTU ataeuza madini? Yaani anatoa hoja kama hiyo mbele ya kamera? Refa anadai mchezaji mmoja atashinda! Yaani anaongea kama Yuko kijiweni, maana huko kila MTU anaonyesha mahaba yake Kwa mgombea wake. Mahera ataliingiza hili Taifa kwenye shida kubwa.

Vovote itakavokuwa baada ya Uchaguzi huu ni KUFUMUA KATIBA NA KUUNDA KATIBA MPYA YENYE TUME HURU NA MATOKEO YA URAHISI KUHOJIWA MAHAKAMANI.
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Hili Kurugenzi jinga saana kuna taharuki mbaya zaidi ya kuwaengua wagombea wa Ubunge na Udiwani (Upinzani) zoezi lilofanywa na wasimamizi wa uchaguzi majimboni? hili likurugenzi linataka kutudanganya kuwa ili zoezi la kuwaengua wagombea kwa maelekezo ya kutoka juu alikuleta taharuki. Jinga saana
 
Machafuko yanini bwashee?
embu acheni kufikiria machafuko fikirieni amani kwanza.
twendeni taratibu kama mabadiliko yatakuja na yataletwa na CCM.taratibu tu tutafika bwashee mnapopataka.

Kama ni mabadiliko yalipaswa yawepo mpaka sasa. Huu uvumilivu wa wapinzani ndio wamegeuzwa mafala. Machafuko tu ndio huleta mabadiliko ndani ya Afrika.
 
Kama ni mabadiliko yalipaswa yawepo mpaka sasa. Huu uvumilivu wa wapinzani ndio wamegeuzwa mafala. Machafuko tu ndio huleta mabadiliko ndani ya Afrika.
Punguza misimamo.
 
Vipi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani bara na visiwani? Vipi kuhusu mafakechee katika kuwaapisha mawakala wa upinzani nchi nzima?
 
Naona NEC wamebanwa vilivyo na sasa wanajiandaa kuuweka mpira kwapani

Tuliwaambia tangu awali mwaka huu mtoto hatumwi dukani na hakuna njama mtakayopanga ambayo haitawekwa wazi.

Mmeengua wagombea wa upinzani, mkafanya kurudisha baadhi na bado hamkuwapa barua, mmefungia wagombea wa upinzani kufanya kampeni, mkakataa kuwaapisha mawakala wa upinzani na mbaya zaidi baada ya mbinu zenu za hovyo za kuongeza vituo vya kupiga kura na wapiga kura hewa kubumbuliwa mnajifanya mnajikosha kuwa ni njama za wapinzani kuwachafua.

Niwaambie tu NEC, hakuna rangi mtaacha ona mwaka huu, hakuna uovu mliopanga ambao haujulikani na hautajulikana. Pona yenu mwaka huu n kuruhusu uchaguzi huru na wa haki tu.

Mmeshikwa vibaya sana mwaka huu na kwamwe hamtoki.

Tanzania imeshaamua ni Tundu Antiphas Lissu na Maalim Seif tu!!
Yani umekaa chini ukajipinda kabisa kuandika ushubwada wako hapa. Kilakukicha mnazua mambo utafikiri wake wenza ambao sanadai taraka. Tulizeni midomo yenu. Msituchoshe na vijambo vya kizushi ambavyo mkiombwa ushahidi hamna. Tuliwashauri kama mnadhani tume siyo huru msishiriki uchaguzi mkagoma. Sasa kila kukicha mna anticipate matatizo hewa.
 
Vipi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani bara na visiwani? Vipi kuhusu mafakechee katika kuwaapisha mawakala wa upinzani nchi nzima?
Waliongeliwa maana yake walikosa sifa za kisheria katika kuteuliwa.
 
Punguza misimamo.

Washauri wasiotaka mabadiliko kwani ndio wanaoshikilia misimamo. Haiwezekani kilio cha tume huru kiwe ni wimbo wa kila uchaguzi, huku ccm wakiwa kikwazo cha mabadiliko.
 
Waliongeliwa maana yake walikosa sifa za kisheria katika kuteuliwa.

Wapinzani tu ndio wanakosea hizo sheria? Bila machafuko ni nadra watawala wa kiafrika kuheshimu chaguzi za haki.
 
Machafuko yanini bwashee?
embu acheni kufikiria machafuko fikirieni amani kwanza.
twendeni taratibu kama mabadiliko yatakuja na yataletwa na CCM.taratibu tu tutafika bwashee mnapopataka.
Huu upole ni kwa hisani ya nani sijui?
 
Kila kichaka Chadema wanachotaka kujificha ili waepuke aibu ya matokeo ya uchaguzi NEC wanakipiga moto. Chadema wame taharuki.
 
Nauliza kuwa kwa nini leo Mahera akavuruga mikutano ya Tundu kuli kusini??
 
Vipi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani bara na visiwani? Vipi kuhusu mafakechee katika kuwaapisha mawakala wa upinzani nchi nzima?
Waliongeliwa maana yake walikosa sifa za kisheria katika kuteuliwa up
Wapinzani tu ndio wanakosea hizo sheria? Bila machafuko ni nadra watawala wa kiafrika kuheshimu chaguzi za haki.
Umeshambiwa wapinzani wa bongo ni magumashi bado wee inaendelea kuwamini itakula kwako amka nakuona uko usingizini. Kama viongozi wakubwa wachama wanashindwa kuelewana Sasa we unashanga hao wadogo kukosea taratibu za kisheria. CCM chama kubwa wanataratibu za kusimamiana na kuelekezana kwa kila hatua. Mfano tuliona kwenye ujazaji wa form Yani ulikuwa utopolo mtupu utafikiri chama hakina viongozi wa kuwasimamia viongozi wao.
 
Back
Top Bottom