Kila siku anajitokeza kuongea upuuzi tu, anaendelea kujidanganya na hayo matamko yake yasiyo na maana kila wakati, watanzania wa leo hawadanganyiki tena.
Anyway, naona Congress ya Marekani wameshamuandikia Magufuli barua nyingine kumkumbusha kulinda haki za raia, huyo Mahera muacheni aendelee kutapika tu.
Membe sio kiongozi wa juu wa ACT bali ni mgombea wa urais kupitia ACT.Kaenda juzi ACT. Na hana mvuto wowote. Watu wameamua kuungana na mgombea mwenye mvuto. Kwenye ujazaji wa fomu ni sababu za kipuuzi ndio zilitumika kuwaengua fullstop.Waliongeliwa maana yake walikosa sifa za kisheria katika kuteuliwa up
Umeshambiwa wapinzani wa bongo ni magumashi bado wee inaendelea kuwamini itakula kwako amka nakuona uko usingizini. Kama viongozi wakubwa wachama wanashindwa kuelewana Sasa we unashanga hao wadogo kukosea taratibu za kisheria. CCM chama kubwa wanataratibu za kusimamiana na kuelekezana kwa kila hatua. Mfano tuliona kwenye ujazaji wa form Yani ulikuwa utopolo mtupu utafikiri chama hakina viongozi wa kuwasimamia viongozi wao.
Mahera anaua soo baaada ya ushenzi wa tume kuwekwa hadharani. Hicho anachoagizwa kufanya kitampeleka pabaya. Aache mshindi halali apatikane, vinginevyo machafuko yako wazi peupe.
Huo unao uita upuzi ndiyo takwa la kisheria. Kumbuka kila statement ya kisheria unaweza kuathili. Tatizo mnazani Ukiwa Upinzani basi utahurumiwa. Wakati wenzenu wa CCM wanajili makatibu kata wa chama ambao wanajielewa mnawafikiri ni wajinga. Kwa taarifa yenu vyama vyenu ambavyo havina uongozi ulioenea kila kona ya nchi vitaendelea kupigwa bao na CCM mpaka basi.Membe sio kiongozi wa juu wa ACT bali ni mgombea wa urais kupitia ACT.Kaenda juzi ACT. Na hana mvuto wowote. Watu wameamua kuungana na mgombea mwenye mvuto. Kwenye ujazaji wa fomu ni sababu za kipuuzi ndio zilitumika kuwaengua fullstop.
Usidanganye watu kijana. Yanayoendelea Nigeria huwezi kuyaletea mfano hapa, vitu viko live kila mtu anaona.JK alisema za kuambiwa changanya na za kwako. Mahera kuwa mwangalifu, baadaye utabaki peke yako. Mfano yanayoendela hivi sasa Nigeria ukiacha kauli ya icc, Mike Pompeo nae ametoa kauli anataka uchunguzi ufanyike, sasa mambo yakiharibika hapa Tanzania watendaji wa NEC lazima mtawajibika.
Hivi Mahera anatuchukuliaje Sisi??Kwani Kwa Uelewa wa Mahera Tume ina Taswira gani mbele ya jamii??Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Mkileta uzushi kwa tume Mahela anawabana Mbavu, mkileta uzushi kwa Magufuli Polepole anawana Mbavu mpaka mnashindwa kupumua. CDM mliambiwa mapema moto wa Magufuli unatisha. 2015 jina la Magufuli ndilo lilipatia ushindi mwembamba CCM. Baada ya miaka mitano baada ya kushima nchi amejipambanua zaidi kwa kutimiza zaidi ya asilimia80 ya ahadi za uchaguzi. Sasa usishangazwe na nyomi lake analopata na mahaba anayopewa na Watanzania. Ushindi wake mwaka 2020 utakuwa ni wakimbunga maana siyo kwa mahaba haya.Hivi Mahera anatuchukuliaje Sisi??Kwani Kwa Uelewa wa Mahera Tume ina Taswira gani mbele ya jamii??
Yani anadhani watu wenye akili timamu wanaona Taswira nzuri Kwa Tume hii inayosimamia na kuhakikisha CCM inashinda Kwa hila?
Taratibu !? maujingaMachafuko yanini bwashee?
embu acheni kufikiria machafuko fikirieni amani kwanza.
twendeni taratibu kama mabadiliko yatakuja na yataletwa na CCM.taratibu tu tutafika bwashee mnapopataka.
Huo unao uita upuzi ndiyo takwa la kisheria. Kumbuka kila statement ya kisheria unaweza kuathili. Tatizo mnazani Ukiwa Upinzani basi utahurumiwa. Wakati wenzenu wa CCM wanajili makatibu kata wa chama ambao wanajielewa mnawafikiri ni wajinga. Kwa taarifa yenu vyama vyenu ambavyo havina uongozi ulioenea kila kona ya nchi vitaendelea kupigwa bao na CCM mpaka basi.
Atasema siyo kipaumbele chakeRrr
Vovote itakavokuwa baada ya Uchaguzi huu ni KUFUMUA KATIBA NA KUUNDA KATIBA MPYA YENYE TUME HURU NA MATOKEO YA URAHISI KUHOJIWA MAHAKAMANI....!!!
Kwa candidates wa The Hague, Mahela yupo kati ya vinaraNajaribu kuwaza, Mahera anafahamu madhara binafsi anayo weza kukumbana nayo ikiwa uchaguzi huu utaharibika?
Anafahamu hatari ya kujikuta maisha yake yaliyobaki kuyamalizia gerezani na kuacha familia yake ikimlilia?
Je, anajua kuwa huyo anayetumia nguvu nyingi kumtengenezea mazingira haramu hatakuwa naye na atamkana kuwa hakumuagiza aliyofanya?
Kweli shetani akikuingia jambo la kwanza anakuvua akili na kukuachia fuvu tupu
Hivi Mahera anatuchukuliaje Sisi??Kwani Kwa Uelewa wa Mahera Tume ina Taswira gani mbele ya jamii??
Yani anadhani watu wenye akili timamu wanaona Taswira nzuri Kwa Tume hii inayosimamia na kuhakikisha CCM inashinda Kwa hila?
Mshauri Msajili akifute kama unadhani CCM siyo chama Cha siasa.Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichovaa koti la chama cha siasa. Hakuna taasisi yoyote inayoweza kuwachukulia ccm hatua yoyote. Mifano halisi ipo.
Katika Ilani ya uchaguzi ya CCM inayonadiwa wakati huu Katiba mpya siyo kipaumbele chake. Ata CDM na ACT wote Katiba mpya siyo kipaumbele chao.Atasema siyo kipaumbele chake
Mshauri Msajili akifute kama unadhani CCM siyo chama Cha siasa.
Mkuu, we unaunga mkono wizi, ulaghai, utapeli na uharamia wote unaofanywa na ccm na vibaraka wake akina Mahela ?!Viongozi wa vyama pinzani wenyenia ovu na uchaguzi huu washafahamika,wakijaribu wanapigwa spana.
Acha uzushi weka ushahidi wa uharamia wao ili tukujue kwamba wewe siyo mnafiki, mpayukaji, mchumia tumbo, hopeless. Let's ushahidi.Mkuu, we unaunga mkono wizi, ulaghai, utapeli na uharamia wote unaofanywa na ccm na vibaraka wake akina Mahela ?!