mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Jitahidi tu kum-trust mzee baba.I don't trust this man anymore
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi tu kum-trust mzee baba.I don't trust this man anymore
Kama kuna mwana JF yeyote ambaye ni ndugu yake na huyu Mahera amshauri huyu nduguye aachane na haya mambo ya chakula cha short term. Kuna baadae ajue.Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Shida ya Hii serikali awamu ya tano ni ushamba tu.Najaribu kuwaza, Mahera anafahamu madhara binafsi anayo weza kukumbana nayo ikiwa uchaguzi huu utaharibika?
Anafahamu hatari ya kujikuta maisha yake yaliyobaki kuyamalizia gerezani na kuacha familia yake ikimlilia?
Jee anajua kuwa huyo anayetumia nguvu nyingi kumtengenezea mazingira haramu hatakuwa naye na atamkana kuwa hakumuagiza aliyofanya?
Kweli shetani akikuingia jambo la kwanza anakuvua akili na kukuachia fuvu tupu
You don’t have even to think to trust him. He is a trashI don't trust this man anymore
Tatizo wamelishwa ujinga eti kila atakayesema Ni beberuKama kuna mwana JF yeyote ambaye ni ndugu yake na huyu Mahera amshauri huyu nduguye aachane na haya mambo ya chakula cha short term. Kuna baadae ajue.
Atakutana na chatu (ICC) hali akiwa peke yake na hakuna atakayemtetea kwani kila anayejifanya kumpigania sasa naye atakuwa anapambana na hali yake.
Mashahidi wa chatu dhidi ya Mahera, Sirro, Diwani, nk wapo kibao (check list hapa chini) na tayari wameshatoa tahadhari kabla ya hatari:
US Congress
US Secretary of State
US Embassy in TZ
US Senate
EU.
Haya wee msije kusema hatukuwaambia!
Acheni ujinga jamani! Lisu wenu hana kura za kumfanya mahera aharibu uchaguzi!Najaribu kuwaza, Mahera anafahamu madhara binafsi anayo weza kukumbana nayo ikiwa uchaguzi huu utaharibika?
Anafahamu hatari ya kujikuta maisha yake yaliyobaki kuyamalizia gerezani na kuacha familia yake ikimlilia?
Jee anajua kuwa huyo anayetumia nguvu nyingi kumtengenezea mazingira haramu hatakuwa naye na atamkana kuwa hakumuagiza aliyofanya?
Kweli shetani akikuingia jambo la kwanza anakuvua akili na kukuachia fuvu tupu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Kwi Kwi KwiJitahidi tu kum-trust mzee baba.View attachment 1609856
Ina maana hizi figisu wanazofanyiwa wapinzani katika hatua hii ya kuapishwa mawakala hazioni au ndiyo kaamua kujitoa ufahamu jumla ili ale vizuri na kipofu?