Uchaguzi 2020 Wilson Mahera: Kuna Viongozi wa Vyama vya siasa ambao wamejipanga kuharibu Taswira ya Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Wilson Mahera: Kuna Viongozi wa Vyama vya siasa ambao wamejipanga kuharibu Taswira ya Uchaguzi Mkuu 2020

I don't trust this man anymore
Jitahidi tu kum-trust mzee baba.
Screenshot_2020-09-28-13-03-17-1.jpg
 
Mahera usiwe na wasiwasi uchaguzi huu utapita kwa amani kabisa. Wenye kushindwa watashindwa, na wenye kushinda watashindwa, bila kusahau wale watakaorudi walikotoka.
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Kama kuna mwana JF yeyote ambaye ni ndugu yake na huyu Mahera amshauri huyu nduguye aachane na haya mambo ya chakula cha short term. Kuna baadae ajue.

Atakutana na chatu (ICC) hali akiwa peke yake na hakuna atakayemtetea kwani kila anayejifanya kumpigania sasa naye atakuwa anapambana na hali yake.

Mashahidi wa chatu dhidi ya Mahera, Sirro, Diwani, nk wapo kibao (check list hapa chini) na tayari wameshatoa tahadhari kabla ya hatari:

US Congress
US Secretary of State
US Embassy in TZ
US Senate
EU.

Haya wee msije kusema hatukuwaambia!
 
Najaribu kuwaza, Mahera anafahamu madhara binafsi anayo weza kukumbana nayo ikiwa uchaguzi huu utaharibika?
Anafahamu hatari ya kujikuta maisha yake yaliyobaki kuyamalizia gerezani na kuacha familia yake ikimlilia?
Jee anajua kuwa huyo anayetumia nguvu nyingi kumtengenezea mazingira haramu hatakuwa naye na atamkana kuwa hakumuagiza aliyofanya?
Kweli shetani akikuingia jambo la kwanza anakuvua akili na kukuachia fuvu tupu
Shida ya Hii serikali awamu ya tano ni ushamba tu.
Wote hawa kuanzia Magu na team yake hawana muda mrefu toka wamekuja mjini.
 
Tatizo wanaomponza Mahera ni wasaidizi wake anawatumia kusimamia uchaguzi baada ya hapo anabeba yeye mzigo wote kwa kushindwa kusimamia vyanzo vya matatizo.

Sisi watu wa management huwa tunasimamia uongonzi bora kwa kufata Sheria na codes mtu wa chini yako akichezea hizo unamlima barua ndo unatoa matamko sasa yeye Anatoa matamko tu bila kuangalia wa chini yake kama wanamuharibia awaonye ili kumuondolea yeye kubanwa na usimamizi dhaifu utakao mponza.

Kwanini wanaotakiwa kupewa huduma na ofisi yake iliyochini yake wanalalamika kwa kukosa huduma sahihi yaani ningekuwa Mimi yeye hao wa chini yangu wakiweka heshima ya kazi zao hata kitengo nilichopo huwa sibebi mtu wa chini yangu kama hasimamii kazi zake inavyopaswa hasa kipindi hiki tunachoongoza wasomi wengi.
 
Mwili ukitiwa ganzi hata upigwe vipi huwezi kusikia maumivu ya aina yoyote.

Huyo mahera atakuwa amesoma, kuona kupitia media mbalimbali nje viongozi walio adhibiwa kutokana na itilafu au kusababisha umma kudhurika kupitia mapambano, ila kuna wakati mabosi wake wanampa kichwa kwa kumwambia achana nao hao, hamna kitu kama hicho, watanzania ni waoga hawawezi kufanya lolote, tumia polisi na uwaamuru wote wapo chini yako.

From there mahera kichwa kinajaa maji anasahau alichoshuhudia mfano kama hii picha hapa 👇

IMG_20200823_234019.jpg

huyo Gbagbo alikuwa rais lakini hapo ndipo alipofikia as jambazi.

So kutumia jeshi au nafasi yake kunyanyasa wengine ni mbaya sana na ijumaa, jumamosi au jumapili anaenda kwenye ibada kuongea na mungu wake itakuwa ni uzandiki wa hali ya juu.
 
Yeye hakumbuki alivyochezea matusi kutoka kwa bosi wake Jerry enzi hizo siku zote ukipewa majukumu ya Uongozi hakuna kutetea uzembe wa mtu wa chini yako ndo huwa wanatuharibia then Kiongozi unabeba lawama, hiyo nafasi amepwaya sana.

Kuna vikesi vidogo tu vimemushindwa sasa huo mpango kama ameunasa ilikuwa vyema aje na ushahidi wakuonyesha hivyo vituo kama havipo na hao watu hewa ndo management inavyokwenda siyo bulabulaa alizoongea bila ushahidi hata mmoja wa kuonyesha kila kata haina kituo hewa kwa ushahidi akiwa kama Kiongozi.
 
Kama kuna mwana JF yeyote ambaye ni ndugu yake na huyu Mahera amshauri huyu nduguye aachane na haya mambo ya chakula cha short term. Kuna baadae ajue.

Atakutana na chatu (ICC) hali akiwa peke yake na hakuna atakayemtetea kwani kila anayejifanya kumpigania sasa naye atakuwa anapambana na hali yake.

Mashahidi wa chatu dhidi ya Mahera, Sirro, Diwani, nk wapo kibao (check list hapa chini) na tayari wameshatoa tahadhari kabla ya hatari:

US Congress
US Secretary of State
US Embassy in TZ
US Senate
EU.

Haya wee msije kusema hatukuwaambia!
Tatizo wamelishwa ujinga eti kila atakayesema Ni beberu
Ngoja waione effect ya hao wanaowaita mabeberu.
Hawajiulizi kwanini ujamaa ulikufa tz!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuwaza, Mahera anafahamu madhara binafsi anayo weza kukumbana nayo ikiwa uchaguzi huu utaharibika?
Anafahamu hatari ya kujikuta maisha yake yaliyobaki kuyamalizia gerezani na kuacha familia yake ikimlilia?
Jee anajua kuwa huyo anayetumia nguvu nyingi kumtengenezea mazingira haramu hatakuwa naye na atamkana kuwa hakumuagiza aliyofanya?
Kweli shetani akikuingia jambo la kwanza anakuvua akili na kukuachia fuvu tupu
Acheni ujinga jamani! Lisu wenu hana kura za kumfanya mahera aharibu uchaguzi!

Watz hawako tayari kuchagua vibaraka.
 
Ina maana hizi figisu wanazofanyiwa wapinzani katika hatua hii ya kuapishwa mawakala hazioni au ndiyo kaamua kujitoa ufahamu jumla ili ale vizuri na kipofu?

Hii nchi ina majitu mspumbaf sana. Jitu kwa vile limepewa hicho cheo sijui kwa kushikishwa ukuta au vipi sijui na sielewi.

Huyu Mahera huyu, huyu Mahera huyu anafikiri Tanzania yote imejaa mambumbumbu na wajinga Kama yeye na aliyemtuma!!! Jitu halioni hata aibu kudanganya na kusema hovyo anavotaka akitegemea watu wamwamini kabisaaaa kwa 100%???
Never ever!
 
Back
Top Bottom