Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

Wameiga ya wasukuma wa uzalendo academia.
FIKIRA ZA UKABILA HAZIWEZI KUTUPELEKA POPOTE.. SI VYEMA KUFANYA SENSITIZATION YA UKABILA KWA MASUALA YA SIASA AMBAYO NI ZA KITAIFA.
 
I
singida imenjanjaruka..wanyaturu wameamua..wabaki wale wanafiki wanyiramba.
Wanyiramba wamesoma, hawawezi kufanya maamuzi kwa vile mtu filani kafanya vile. Ni tafauti na wanyaturu ambao wanafahamiana karibu wote.
 
Waliona sifa kutupokonya madiwani na leo tunawapokonya wabunge.

Hasara iko wapi kati ya kupoteza jani ktk nyumba na nguzo ya nyumba??
Acha vita iendelee..!! Am watching.
 

Asante mkuu Ki Mun vipi kuhusu busara, hekima, uadilifu wake mkiwa shuleni? Kwa maana kuhusu up stairs sina mashaka, wazee wa Ilboru nawaheshimu sana. Hata niliposikia kuhusu Lazaro kuomba kujiunga CDM sikushangaa maana ndipo walipo wenzake kwa asilimia kubwa.

Nimetamani kumjua katika nyanja hizo ili niendelee kupata amani na aina ya watu wanaojiunga CDM. asante.
 
Provided yuko CCM ni wazi atakuwa hana uadilifu wowote, LAKINI akitangaza tu kujiunga CDM tayari atakuwa amepata utakaso. UJUHA WA AJABU.
 
This is JF RUBBISH. Jamani tumechoka na uzwauzwa wenu
Unaanzaje kusema Nyarandu ana wenyeviti 100..!?!
Hata kama anao, what's the big deal..!?
Au tumesahau nguvu ya Lowasa...?
Alikuwa akiungwa mkono na wakurugrenzi was halmashauri kwa 99%.
Alikuwa anawalipa makatibu wa CCM mshahara mwingine toka mfukoni mwake...
Aliungwa mkono hadharani na Wenyeviti wa CCM zaidi ya 60%..?
Lakini alipohama alifuatwa na wangapi??
Sembuse huyu fala
Ni wale wapumbavu tu ndio wanaweza kutishika na .kuhama eti ataondoka na wengi
 
Singida is becoming a hotbed of political revival!

Wanyaturu na Wanyiramba wanatufundisha kitu hapa!
 
ni kitu gani Mungu aliona kwa Mfalme daudi , mpaka kumchagua kuwa mfalme ,,,,,, Mungu aliona yule simba aliyetaka kuvamia kondoo wa nyumbani ,,,,,, alikuwa na roho ya unyenyekevu wenzake wapo nyumbani yeye anaenda kuchunga ,,,,,,,,,, nyalandu na chadema ,,,,, mimi naona hicho ,,,,,, wewe uliye goliath subiri aokote mawe ,,,,, kichwa chako kwaheri ,,chezea imanai ya kilokole , time will tell
 
Willy is SMART of course, huwezi kuwa rafiki wa Lazaro kama kichwa chako hakifanyi kazi sawasawa na huna uwezo wa kufikiri haraka, atakuacha umesimama barabarani...ukiwa na akili hakuachi, ndo maana nafikiri anaukubali mno uwezo wa kufikiri wa Lissu, Mbowe na vijana wengine wa Chadema!
 
mnahaha kumsafisha nyarandu eti ana features kama za nyarandu !!!!hahahaha baa vichaa bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…