Wimbi kubwa la wahitimu tegemezi wanaomaliza vyuo wasioweza kujitegemea, kuna faida ya kuwa na elimu ya chuo kama huwezi kujilisha?

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu.

Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye mashirika ili kupata experience ya cv ila ni kwa gharama zao hivyo wanaishi nyumbani, miaka inakatika bado bila bila familia zinawapa mitaji lakini akili bado zipo kwenye ajira hawapo serious na biashara mwisho wanafunga wanarudi from scratch, kelele zinakuwa nyingi huhamisha makazi kwa kina dada au ndugu wengine, wale wa kike kipindi hiki wanakuwa very vulnerable kuolewa iwe njia ya kuondoka.

Sababu kubwa inayopelekea hali hii ni kukosa ujuzi na uthubutu wa kufanya shughuli za kujiingizia kipato nje ya kazi walizosomea vyuoni na kuona aibu kufanya baadhi ya shughuli wanazohisi haziendani na hadhi ya elimu yao.

SOLUTION
1. Vijana wajiandae na maisha baada ya chuo, kwenye hizi likizo na weekends wawe wanajifunza na kuomba kuajiriwa kwenye mashamba, ofisi za kunyoa, kusuka, kuendesha boda, kupika, n.k.

2. waweke aibu pembeni wapige kazi, kuna stigma kwenye jamii zetu wahitimu wanahisi kuna kazi hawatakiwi kufanya kama kunyoa, kusuka, kuendesha boda, n.k.
 
graduates mnaitwa huku, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, kama hawataamua kufanya jambo kuinusuru Elimu ya Tz, tuondoe neno GRADUATES kwenye nchi hii...kama graduates ndo hao tunaomaanisha digrii

Nina master's holder kibao tu kwenye contact list, status zao huko whatsapp, akiandika Kiswahili naona aibu mimi, akiandika kikorinto ndo kabisaaa.

Wajuaji hao ukiwakuta makazini!
 
Chuo hawafundishi kupika chakula ndio maana graduates hawawezi kujilisha.
 
Aisee, kama hawataamua kufanya jambo kuinusuru Elimu ya Tz, tuondoe neno GRADUATES kwenye nchi hii...kama graduates ndo hao tunaomaanisha digrii

Nina master's holder kibao tu kwenye contact list, status zao huko whatsapp, akiandika Kiswahili naona aibu mimi, akiandika kikorinto ndo kabisaaa.

Wajuaji hao ukiwakuta makazini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
 
Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu.

Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye mashirika ili kupata experience ya cv ila ni kwa gharama zao hivyo wanaishi nyumbani, miaka inakatika bado bila bila familia zinawapa mitaji lakini akili bado zipo kwenye ajira hawapo serious na biashara mwisho wanafunga wanarudi from scratch, kelele zinakuwa nyingi huhamisha makazi kwa kina dada au ndugu wengine, wale wa kike kipindi hiki wanakuwa very vulnerable kuolewa iwe njia ya kuondoka.

Sababu kubwa inayopelekea hali hii ni kukosa ujuzi na uthubutu wa kufanya shughuli za kujiingizia kipato nje ya kazi walizosomea vyuoni na kuona aibu kufanya baadhi ya shughuli wanazohisi haziendani na hadhi ya elimu yao.

SOLUTION

1. Vijana wajiandae na maisha baada ya chuo, kwenye hizi likizo na weekends wawe wanajifunza na kuomba kuajiriwa kwenye mashamba, ofisi za kunyoa, kusuka, kuendesha boda, kupika, n.k.

2. waweke aibu pembeni wapige kazi, kuna stigma kwenye jamii zetu wahitimu wanahisi kuna kazi hawatakiwi kufanya kama kunyoa, kusuka, kuendesha boda, n.k.
Wanachuo wenyewe ni hawa machawa na machangudoa tunaowaona wakimramba manonihino mfuga chawa siyo? Angalia hata hao maprofesa wanaowafundisha utajua kuwa hakuna cha elimu wala nidhamu bali uchawa. Call this education for ignorance mwanangu.
 
Kusudi la kusoma ni kupokea hekima na maarifa ili vimfae katika kuishi.Ulelewe na kukulia Mangirikiti(Liwale) utahusianishwa(associate) na mazingira hayo.Chuo kikuu unapata universal education,yafaa kwa mazingira ya Mangirikiti?Je huu si utapeli kweli?
 
1-Kuna Elimu na Maarifa.
2-Kuna Elimu na Biashara.
3-Kuna Elimu na Technology.
4-Kuna Elimu na Kilimo.
Sasa wewe Graduates unasubiri kazi ya serikali utachundaa.
 
Anzeni kuwaelimisha wakiwa bado wadogo
* Bado jamii yenyewe inaamini kuwa MTU akifika vyuoni lzm aajiriwe;

* Wakijitambua na kutambua hali za wazazi na ndugu zao basi aibu wataiweka kando na kufanya kazi zilizonje ya taaluma zao;

* Jamii pia wasaidieni mawazo na mitaji midogo ya kuanzia, hawatawasahau
 
Back
Top Bottom