Wimbi la kuibuka watu JF wenye mitaji mikubwa kulikoni wenzetu?

Mkuu wasikutishe.....
Hizo Pesa mimi ndio nawapa😝😝😝😝😝😝

Japo leo siku nzima nimekunywa uji na Mahindi..
Sio kama sina hela, ni Hamu tuu, nimekumbuka kijijini.

Humu watu wananichukulia poa sana, subiri tuu....😝😝
 
Jf wako watu wa kila kada siasa biashara mawaziri matapeli wadangaji waganga wajasiriamali madokta wanasheria kifupi kada zote Wala usishangae
 
Mkuu wasikutishe.....
Hizo Pesa mimi ndio nawapa😝😝😝😝😝😝

Japo leo siku nzima nimekula uji na Mahindi..
Sio kama sina hela, ni Hamu tuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
We Kaka wewe..umejua nichekesha uwiiii..🀣🀣🀣
 
Kuna bilionea mmoja wa marekani anaitwa DanLock anasema mojawapo ya swali la kijinga kabisa kwa mtu kuuliza ni "Nina $$$$$$$$ nizifanyie biashara gani?"
 
Kwamba wanaoziokota hela pasi na biashara? Hahahaha......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaaa Utakua serious liniiii?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio hivyo kaka. JF kila mtu anaandila anachojisikia. Kwenye uhalisia mambo hayako hivyo. We fikiria tu, mtu ana 400m, anakuja kuomba ushauri wa namna ya kufanya biashara na kuziongeza. Kazipataje, si atumie mbinu hio hio kuziongeza?
Inawezekana,

Kuna wanaopa kwa urithi,n.k
 
dronedrake
Asante kwa lyrics hapo juu, hebu rudi kidogo unyooshe sehemu moja tu imepinda:

Ma-super stars tunang’aa, kwa pamba tunazovaa.

Zinaficha njaa, ........

Cheers [emoji1635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…