Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf wako watu wa kila kada siasa biashara mawaziri matapeli wadangaji waganga wajasiriamali madokta wanasheria kifupi kada zote Wala usishangaeHabari zenu wadau?
Nije kwenye mada? Humu jf Naona kuna watu wameibuka wana hela kubwa kubwa wanataka ushauri wa kufanya biashara!.
Mi naomba kujua mbona wanazidi tu kulikoni mara leo huyu ana million 150 mara 200 hujakaa sawa mwingine 750 asee!
Mi ninashangaa sana maana kila ukipita huko unakutana nao! Basi na sisi naomba mtuambie na sisi tupate hizo hela nzito nzito! Natumaini sijamkela mtu ni mawazo yangu tu
Nawasilisha [emoji120]
๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMkuu wasikutishe.....
Hizo Pesa mimi ndio nawapa๐๐๐๐๐๐
Japo leo siku nzima nimekula uji na Mahindi..
Sio kama sina hela, ni Hamu tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaaa Utakua serious liniiii?Mkuu wasikutishe.....
Hizo Pesa mimi ndio nawapa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Japo leo siku nzima nimekunywa uji na Mahindi..
Sio kama sina hela, ni Hamu tuu, nimekumbuka kijijini.
Humu watu wananichukulia poa sana, subiri tuu....[emoji13][emoji13]
Hizi pesa nadhani watakuwa wanazipata kwa kukata maunoKwamba wanaoziokota hela pasi na biashara? Hahahaha......
๐๐๐๐๐๐๐๐Wengine wanatupeleka Geneva tu.
๐๐๐๐Mkuu wasikutishe.....
Hizo Pesa mimi ndio nawapa๐๐๐๐๐๐
Japo leo siku nzima nimekunywa uji na Mahindi..
Sio kama sina hela, ni Hamu tuu, nimekumbuka kijijini.
Humu watu wananichukulia poa sana, subiri tuu....๐๐
Khaaaaa, Serious Futuhi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaaa Utakua serious liniiii?
๐๐๐ zitupe kama hakuna sokonna dhahabu gram 400,naweza pata wapi soko?
Inawezekana,Ndio hivyo kaka. JF kila mtu anaandila anachojisikia. Kwenye uhalisia mambo hayako hivyo. We fikiria tu, mtu ana 400m, anakuja kuomba ushauri wa namna ya kufanya biashara na kuziongeza. Kazipataje, si atumie mbinu hio hio kuziongeza?
Inawezekana,
Kuna wanaopa kwa urithi,n.k
Cc: bashite. Kuna customers wako huku,njoo uwaokote.Drug lords wameiteka forum yetu au