Wimbi la urejeshaji kadi Za CCM lapamba moto!!

Wimbi la urejeshaji kadi Za CCM lapamba moto!!

Hii trend iendelezwe Watanzania wote kwa maelfu waikatae CCM.

Leo nimeusoma ujumbe wa Balozi wa Marekani inawatia wananchi faraja sana.
Balozi wa Marekani tena? Kama ni kweli aise, kumbe ninyi ni wasaliti wa nchi yetu?
 
Kuanzia kesho kazi inaendelea.
utupwaji wa kadi za vyama vinavyosajili wanachama kiholela na kubeba matumaini kwamba kimevuna wanachama wengi mahali fulani, ni kujiandaa na kilio cha siku zote.
wanachama wasajiliwe kufuata taratibu za vyama ili kusajili wanachama timamu.
Unampa kadi leo Kesho unaikuta jalalani.

Ooh kura zimeibiwa.
oohh haukua huru.
Oohh mawakala wetu walihongwa.
Ohh wasimamizi walimu ni waoga.
Ohh raisi wa mioyo ya waTz.
Tutaandamana nchi nzima.
Ohh nchi haitawalika.
Ooh bila police hawashindi.
Wapiga kura wetu walitishwa.
Wengi wa vijana walikamatwa. wasipige kura.
 
Kife kabisa.

Tena kimfie huyu chotara wa kike aliyekosa uchungu kwa rasilimali za Tanganyika, ili akumbukwe kwenye historia daima kuwa chama chakavu kiliangushwa na wananchi katika utawala wake.
Enzi za kujivua gamba kilitaka kumfia mkwere akamkimbilia Mangula akawanusuru
 
😂😂😂😂
 

Attachments

  • JamiiForums-2082348249.jpg
    JamiiForums-2082348249.jpg
    13.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom