Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu.

Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.

Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.

Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?

Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?

Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?

Your browser is not able to display this video.
 
Dunia Ina mambo,Bora niwe mshmba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…