Hivi inakuaje TV ya mtu binafsi inakua "classic" kuliko TV ya nchi?wasafi ipo clasic kuliko hiyo TBC yani ata ubora wa sauti ya TBC upo chini sana
kinachoenda kwa mganga hakirudi.Hivi inakuaje TV ya mtu binafsi inakua "classic" kuliko TV ya nchi?
Apana c kukosa uzalendo ila ni majibu tosha kuwa TBC hakuna mtu anehangaika kuiangalia. yani hawatakiwiSiku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa Sana la viongozi WA kiserikali kushiriki mahojiano mbalimbali pale Wasafi FM. Yaani ni kama wanapishana vile, ukiangalia namba ya viongozi hawa hawa kwenda TBC FM ni kama haiko kabisa. Je huku si kukosa uzalendo?
Serikali Yote ni TajiriHivi inakuaje TV ya mtu binafsi inakua "classic" kuliko TV ya nchi?
Si inategemea na uwekezaji uliowekwaHivi inakuaje TV ya mtu binafsi inakua "classic" kuliko TV ya nchi?
INVESTIMENTHivi inakuaje TV ya mtu binafsi inakua "classic" kuliko TV ya nchi?
Huo ndo msingi wa hoja yangu, TBC inajiendesha Kwa Kodi zetu nini kinasababisha ikose mvuto na kupoteza namba ya wasikilizaji? Tunaanza kufundisha watoto historia ya Tanzania ili wawe wazalendo, Kwa nini hawa viongozi wasiwe wazalendo Kwa kuhakikisha TBC FM inasikilizwa na watanzania walio wengi!Hivi inakuaje TV ya mtu binafsi inakua "classic" kuliko TV ya nchi?
Unaweza kutupatia Jibu ni kwanini Jibu liwe kwamba Audience inapatikana Wasafi na siyo TBC FM, Kwa nini Wasafi aweze kuvutia hadhira na TBC ashindwe ili hali TBC anajiendesha Kwa Kodi zetu? Wakati Wasafi ni mojawapo ya Wale wanaolipia huduma za TBCAudience, yaani Hadhira inayokusudiwa ukitaka kufikia watu wengi zaidi ni busara kuwaza utawapata wapi .