Wimbi la viongozi kwenda Wasafi FM badala ya TBC

Wimbi la viongozi kwenda Wasafi FM badala ya TBC

Hata Wasafi nayo ishakua TBC ndogo....hawana tena freedom of expresion..rasmi inatumika kuwatumia vijana waamini chama
 
Unaweza kutupatia Jibu ni kwanini Jibu liwe kwamba Audience inapatikana Wasafi na siyo TBC FM, Kwa nini Wasafi aweze kuvutia hadhira na TBC ashindwe ili hali TBC anajiendesha Kwa Kodi zetu? Wakati Wasafi ni mojawapo ya Wale wanaolipia huduma za TB
Unaweza kutupatia Jibu ni kwanini Jibu liwe kwamba Audience inapatikana Wasafi na siyo TBC FM, Kwa nini Wasafi aweze kuvutia hadhira na TBC ashindwe ili hali TBC anajiendesha Kwa Kodi zetu? Wakati Wasafi ni mojawapo ya Wale wanaolipia huduma za TBC
O

Mkuu, Nakubaliana na wewe kuhusu TBC kujiendesha kupitia kodi zetu, Lakini hadhira ya Tanzania kwa sasa inajumuisha vijana wengi.

Kuliteka soko hilo ubunifu unahitajika, katika maudhui yanayotolewa.Hivyo hapa ndipo penye changamoto.

Vyombo vilivyoendelea mfano BBC wameweza kuweka maudhui kulingana na mahitaji ya Hadhira. BBC wana channels nyingi mfano Lifestyle n. k Hivyo ubunifu tu mkuu.
 
Back
Top Bottom