Wimbi la viongozi kwenda Wasafi FM badala ya TBC

Hata Wasafi nayo ishakua TBC ndogo....hawana tena freedom of expresion..rasmi inatumika kuwatumia vijana waamini chama
 

Mkuu, Nakubaliana na wewe kuhusu TBC kujiendesha kupitia kodi zetu, Lakini hadhira ya Tanzania kwa sasa inajumuisha vijana wengi.

Kuliteka soko hilo ubunifu unahitajika, katika maudhui yanayotolewa.Hivyo hapa ndipo penye changamoto.

Vyombo vilivyoendelea mfano BBC wameweza kuweka maudhui kulingana na mahitaji ya Hadhira. BBC wana channels nyingi mfano Lifestyle n. k Hivyo ubunifu tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…