Wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja linaendelea kushika kasi. Tuelezeni, changamoto iko wapi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Siku hizi wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja limeshika kasi na linaonekana kama jambo la kawaida ila kwenye malezi tunajua kuna gap kubwa sana kwa mtoto na mzazi

Unaweza kuta mwanaume au mwanamke anamlea mtoto mwenyewe bila mzazi mwenzie. je ni kipi kinacho pelekea kufika ukoo?

Na wale ambao mnalea watoto wenu mkiwa pamoja yaan wazazi wote wawili bado mpo pamoja na mnalea mmewezaje? Hakukua na changamoto ambazo ziliwafanya muwaze kutengana?

Na nyie ambao mmezaa na mnalea watoto tu yaan mmeachana je sababu kubwa zilikuwa zipi? Na mlishindwa kusolve kabisa? Je mtoto wako au watoto wako una penda walelewe ivyo au uzae kila mtoto baba yake au mama yake?

Embu leo fungukeni na sisi wengine tujifunze kuweni wawazi kama wewe mwanamke au mwanaume tuambie sababu gani zilikushinda kuvumilia?

Na wewe ulie weza kuwalea watoto wako pamoja na mzazi mwezio mpaka leo mme wezaje tuambien tujue
 
Ukishajua sababu utafungua kituo cha kuwalea hao watoto au utawapatanisha wazazi?

Nchi haina umeme watu mnakuja na mara za kipumbavu pumbavu

Kwani nan kasema ni lazma mkizaa lazma make pamoja?

Huu ujinga mtaacha lini nyie ngoz ya tako?

Mambo ya msingi hamjadili kutwa nzima ujinga na ngono tu
 
Wanawake wanataka mtu wa kuzaa nae tu ila sio kuolewa. Kuolewa kwao ni utumwa.
 
Ukishajua sababu utafungua kituo cha kuwalea hao watoto au utawapatanisha wazazi?

Nchi haina umeme watu mnakuja na mara za kipumbavu pumbavu

Kwani nan kasema ni lazma mkizaa lazma make pamoja?

Huu ujinga mtaacha lini nyie ngoz ya tako?

Mambo ya msingi hamjadili kutwa nzima ujinga na ngono tu
Hapa sizan kama nimeongelea ngono
 
Uzalendo

Wananchi hatuna uzalendo wa kweli inasababisha tunazaliwa wasaliti, viongozi wasaliti

Uzalendo unaanza ngazi ya familia alafu unapanda ngazi ya jamii, wilaya, mkoa mpaka taifa

Kama hatutaweza kuwa wazuri/wenye adabu ngazi ya familia ni ngumu sana kuwa watiifu ngazi ya Kitaifa so tuwe waaminifu na wenye huruma ngazi ya kifamilia kwanza itatujenga kufikiria mbele

Mtoto aliyekataliwa na baba yake au na mama yake leo akiwa raisi wa taifa usitegemee awe mtiifu

Unaweza ukaona jibu halihusiani na mada ila soma zaidi ya mara moja utaelewa

Mwisho; maadili yanatakiwa yajengwe ngazi ya familia/koo kwanza then jamii itakuwa salama, mkoa utakuwa salama baadae taifa litakuwa salama
 
Siku hizi wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja limeshika kasi na linaonekana kama jambo la kawaida ila kwenye malezi tunajua kuna gap kubwa sana kwa mtoto na mzazi

Unaweza kuta mwanaume au mwanamke anamlea mtoto mwenyewe bila mzazi mwenzie. je ni kipi kinacho pelekea kufika ukoo?

Na wale ambao mnalea watoto wenu mkiwa pamoja yaan wazazi wote wawili bado mpo pamoja na mnalea mmewezaje? Hakukua na changamoto ambazo ziliwafanya muwaze kutengana?

Na nyie ambao mmezaa na mnalea watoto tu yaan mmeachana je sababu kubwa zilikuwa zipi? Na mlishindwa kusolve kabisa? Je mtoto wako au watoto wako una penda walelewe ivyo au uzae kila mtoto baba yake au mama yake?

Embu leo fungukeni na sisi wengine tujifunze kuweni wawazi kama wewe mwanamke au mwanaume tuambie sababu gani zilikushinda kuvumilia?

Na wewe ulie weza kuwalea watoto wako pamoja na mzazi mwezio mpaka leo mme wezaje tuambien tujue

Mfumo wa Dunia unahitaji watumwa wengi, vijakazi wengi, vibarua wengi.

Na ili hilo liwezekane lazima taasisi ya ndoa/familia iangushwe.

Watoto waliolelewa bila Baba na Mama na strong family kuwafanya watumwa, vijakazi, vibarua ni kugusa.
Kwani watoto watakuwa hawana nguvu yoyote.

Ni kama umkute mtu mwenye mguu mmoja. Au mwenye mkono mmoja.
Au asiwe na miguu kabisa au mikono Kabisa.

Mtu bila Baba na mama(familia) ni kama mlemavu. Maisha lazima yamnyoroshe.

Wajanja wanadhibiti haya
a) Afya
b) Kazi
c) Familia

Ukikosa kimoja kati ya hivyo kwenye maisha umekwisha
 
Sijui changamoto ila ni bora kuzisimamia changamoto zenu na kuzitatua kuliko kuweka hisia zaidi, kizazi kinaharibika sana sasa hivi
Mnooo sasa shida una kuta mmoja ana taman sana kulinda hayo mahusiano lakini mwingine ana onekana yeye ndio ana lazimisha mahusiano no kujishusha kila mtu amepanda
 
Uzalendo

Wananchi hatuna uzalendo wa kweli inasababisha tunazaliwa wasaliti, viongozi wasaliti

Uzalendo unaanza ngazi ya familia alafu unapanda ngazi ya jamii, wilaya, mkoa mpaka taifa

Kama hatutaweza kuwa wazuri/wenye adabu ngazi ya familia ni ngumu sana kuwa watiifu ngazi ya Kitaifa so tuwe waaminifu na wenye huruma ngazi ya kifamilia kwanza itatujenga kufikiria mbele

Mtoto aliyekataliwa na baba yake au na mama yake leo akiwa raisi wa taifa usitegemee awe mtiifu

Unaweza ukaona jibu halihusiani na mada ila soma zaidi ya mara moja utaelewa

Mwisho; maadili yanatakiwa yajengwe ngazi ya familia/koo kwanza then jamii itakuwa salama, mkoa utakuwa salama baadae taifa litakuwa salama
Umegusa mule mule watoto wetu now tuna wale kishua kwa kisingizio maisha nilio pitia mimi sitaki mwanangu apitie tuna sahau yale maisha ndio yalitujenga sisi kuwa bora na kuwa viongozi na kuwa na uvumilivu now usomi mwingi kila kitu kina endeshwa na usomi
 
Mfumo wa Dunia unahitaji watumwa wengi, vijakazi wengi, vibarua wengi.

Na ili hilo liwezekane lazima taasisi ya ndoa/familia iangushwe.

Watoto waliolelewa bila Baba na Mama na strong family kuwafanya watumwa, vijakazi, vibarua ni kugusa.
Kwani watoto watakuwa hawana nguvu yoyote.

Ni kama umkute mtu mwenye mguu mmoja. Au mwenye mkono mmoja.
Au asiwe na miguu kabisa au mikono Kabisa.

Mtu bila Baba na mama(familia) ni kama mlemavu. Maisha lazima yamnyoroshe.

Wajanja wanadhibiti haya
a) Afya
b) Kazi
c) Familia

Ukikosa kimoja kati ya hivyo kwenye maisha umekwisha
Na wamefanikiwa sasaiv watu hawaoni umuhimu tena wa familia kabisa
 
Back
Top Bottom