Wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja linaendelea kushika kasi. Tuelezeni, changamoto iko wapi?

Wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja linaendelea kushika kasi. Tuelezeni, changamoto iko wapi?

Siku hizi wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja limeshika kasi na linaonekana kama jambo la kawaida ila kwenye malezi tunajua kuna gap kubwa sana kwa mtoto na mzazi

Unaweza kuta mwanaume au mwanamke anamlea mtoto mwenyewe bila mzazi mwenzie. je ni kipi kinacho pelekea kufika ukoo?

Na wale ambao mnalea watoto wenu mkiwa pamoja yaan wazazi wote wawili bado mpo pamoja na mnalea mmewezaje? Hakukua na changamoto ambazo ziliwafanya muwaze kutengana?

Na nyie ambao mmezaa na mnalea watoto tu yaan mmeachana je sababu kubwa zilikuwa zipi? Na mlishindwa kusolve kabisa? Je mtoto wako au watoto wako una penda walelewe ivyo au uzae kila mtoto baba yake au mama yake?

Embu leo fungukeni na sisi wengine tujifunze kuweni wawazi kama wewe mwanamke au mwanaume tuambie sababu gani zilikushinda kuvumilia?

Na wewe ulie weza kuwalea watoto wako pamoja na mzazi mwezio mpaka leo mme wezaje tuambien tujue
Inatokeaga automatic siyo kwa kupenda au kupanga unajalibu kupanga mungu naye anapanga chanzo mara nyingi usaliti na mmoja kutovumilia maisha magumu
 
šŸ˜†
Inaonekana ulijua kupika vyakula sababu ya kukimbiwa
Cooking-Tongue-GIF-Cooking-Tongue-Smoke-Š˜Ń‰ŠøŃ‚Šµ-GIFфайлы-Šø-Š¾Š±Š¼ŠµŠ½ŠøŠ²Š°Š¹Ń‚ŠµŃŃŒ-ими-0ac3fdde274daf14762...gif
 
Watu wengi mapenzi yanawakuta wakiwa bado hawana ule utayari wa Ku settle na kuwa committed na Mahusiano, utakuta mmoja Yuko serious na mwingine anachukulia kama kupoteza muda au sex toy ya kujifurahisha, Hana future yaani au utakuta wote wawili wako nusu nusu Yani wanaviziana kwaajili ya manufaa binafsi ya kifedha na ngono...

Tunapoelekea mtu kufika miaka 40 na Hana mtoto au ni single hasa single Maza basi ni kawaida Tu, Hili tayari linakumba mataifa mengi makubwa Hadi China sasa kuna kitu kinaitwa leftover women na wanaume wengi sas hv china hawataki Kuoa wao ni starehe na kupiga nyeto Tu.
 
Dunia ime haribika sana na wana harakat za haki za binadamu wamechochea iloo
 
Back
Top Bottom