StaffordKibona
JF-Expert Member
- Apr 21, 2008
- 669
- 60
Wimbo wa WARAKA wa Bahati Bukuku ni bomba ile mbaya. hata mimi naufagilia ile mbaya. Nilijitahidi kutuma namba yake 130 messages 100 ili ashinde.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nikusahihishe kidogo nafasi ya pili ilishikwa na Solomon Mukubwa na wimbo wake wa MFALME WA AMANI.
Nawapa hongera waimbaji wote walioshiriki.
Nahisi huu ni mgongano wa mawazo!Wimbo Nibebe wa Rose Muhando umechaguliwa na watanzania kuwa Wimbo bora wa Injili kwa mwaka 2009. Wimbo huu umeshika namba 1 baada ya kuzipiku nyimbo 30 zilizotolewa na TBC1 kama zawadi ya x-mass. kwa kushindanishwa kwa siku tatu kuanzia tarehe 25 - 27 Desemba, 2009.
Wimbo wa Nibebe umepigiwa kura zaidi ya 7000 na kushika nafasi ya kwanza ukifuatiwa na wimbo wa Bwana Yesu ni tegemeo langu na Wimbo wa tatu ni Waraka wa Bahati Bukuku uliopata kura 6000. Washindi wamejipatia vikombe pamoja na pesa taslimu Tshs 50,000 kwa mshindi wa tatu; Tshs 100,000 kwa mshindi wa pili na Tshs 200,000 kwa mshindi wa kwanza.
Hongera TBC1 kwa kipindi kizuri na hongereni waimbaji wote maana nyimbo zenu hakika ni nzuri na mchuano ulikuwa ni mkali sana kiasi kwamba ilikuwa vigumu kutabiri mshindi.
Jamani mbona zawadi zenyewe kiduuunchuuu!!! Laki mbili mwimbaji bora wa mwaka, heh! Wangewaambia Cocacola, etc etc wawasaidie, wangepata zawadi zaidi mbona?
Wimbo wa Nibebe kelele tu, na sijui watu wanaupendea nini?
kwani AIC ni ya kikabila????
TBC wamefanya ufisadi
em angalia zile short codes haiwezi kuwa chini ya 250 per msg
sasa mshindi wa kwanza kapata kura 7000, wapili 6000....sasa walikua
washiriki 30. em weka roughly hapo assume wote waliosalia wastani wa
kura ni 1000(which is minimum expected) alafu zidisha mara 28= 28000 +
7000 +6000=41000 * 250=10,250,000
toa tsh50 * 41000=2,050,000-malipo kwe kampuni ya simu = 8,200,000
alafu wanakuja kutoa laki tano tu kwa washindi. hapo ni gharama ya chini kabisa, kwanza ur not sure kama kweli walipata exactly figure kama walivyoainisha et 7000,6000..nk, any way katika ulimwengu wa roho pesa haimati sana, bali recognition and appreciation.
"...Mtanzania aliyefilisika kimawazo atatafuta kujihalalisha kwa aidha Dini, au Ukabila, au Ujimbo...au Mkoa..." NyerereAu wewe ni Msukuma???
"...Mtanzania aliyefilisika kimawazo atatafuta kujihalalisha kwa aidha Dini, au Ukabila, au Ujimbo...au Mkoa..." Nyerere
Umechaguliwa kwa sababu unaimbwa mpaka kwenye vilabu vya gongo, komoni, wanzuki na kwingineko unakojua wanaimba huku wamelewa na hawaelewi wanacho imba, mimi ningechagua sitanyamaza, wa Huyo Rose,
CHAWOTE ndio wapi? kama ni sehemu mabaya, mnautumia kwa sababu hamuelewi maana ya wimbo huohuo wa sitanyamaza ndio wimbo wetu wa kuingilia pale CHAWOTE!😀
Wimbo wa Nibebe kelele tu, na sijui watu wanaupendea nini?
TBC wamefanya ufisadi
em angalia zile short codes haiwezi kuwa chini ya 250 per msg
sasa mshindi wa kwanza kapata kura 7000, wapili 6000....sasa walikua
washiriki 30. em weka roughly hapo assume wote waliosalia wastani wa
kura ni 1000(which is minimum expected) alafu zidisha mara 28= 28000 +
7000 +6000=41000 * 250=10,250,000
toa tsh50 * 41000=2,050,000-malipo kwe kampuni ya simu = 8,200,000
alafu wanakuja kutoa laki tano tu kwa washindi. hapo ni gharama ya chini kabisa, kwanza ur not sure kama kweli walipata exactly figure kama walivyoainisha et 7000,6000..nk, any way katika ulimwengu wa roho pesa haimati sana, bali recognition and appreciation.
Jana (27Dec09) asubuhi niliangalia kipindi cha Jambo cha TBC1. Solomon Mukubwa alihojiwa na TBC1. Kati ya maswali aliyoulizwa ni kuhusu ulemavu wa mkono wake. Akasema aliumwa sana mkono (ulivimba) na alihusisha ugonjwa huo na nguvu za giza. According to him - madaktari walishindwa na hata waganga wa jadi hawakuweza. Ndipo aliporudi tena hospitali akaambiwa inabidi akatwe mkono. Hakuwa na jinsi bali kukubali. Mkono ukakatwa, and there he is! Happily serving the living God. (Nimejaribu kufupisha).Mi naukubali ule wimbo wa marehemu chibalonza...Toka chini kwenda juu...
http://www.youtube.com/watch?v=meixmZOZi0o tumempoteza mmoja wa waimbaji
wazuri ambao hawajawahi tokea.....lakini si mbaya sana kwa sababu yule alieshika
namba mbili(SOLOMON MUKUBWA) ndie alienusurika kwenye ile ajali iliyomuua angela(ndipo alipopoteza ule mkono mmoja)
hakuna lisilowezekana kwa mungu.....RIP angel chibalonza
Mi naukubali ule wimbo wa marehemu chibalonza...Toka chini kwenda juu...
http://www.youtube.com/watch?v=meixmZOZi0o tumempoteza mmoja wa waimbaji
wazuri ambao hawajawahi tokea.....lakini si mbaya sana kwa sababu yule alieshika
namba mbili(SOLOMON MUKUBWA) ndie alienusurika kwenye ile ajali iliyomuua angela(ndipo alipopoteza ule mkono mmoja)
hakuna lisilowezekana kwa mungu.....RIP angel chibalonza
hahahha.Binamu bwana.Ntakupa na dhawadi ya new year,Kumbe unanikumbukaga eee?halafu ZD,
NAOMBA MUONGOZO KUHUSU URAIA WA ANGELA CHIBALONZA NA MUMEWE:
A. NI WAKONGO??
B. NI WAKENYA??
Umechaguliwa kwa sababu unaimbwa mpaka kwenye vilabu vya gongo, komoni, wanzuki na kwingineko unakojua wanaimba huku wamelewa na hawaelewi wanacho imba, mimi ningechagua sitanyamaza, wa Huyo Rose,
aseeee, we acha!,hahahha.Binamu bwana.Ntakupa na dhawadi ya new year,Kumbe unanikumbukaga eee?

Jana (27Dec09) asubuhi niliangalia kipindi cha Jambo cha TBC1. Solomon Mukubwa alihojiwa na TBC1. Kati ya maswali aliyoulizwa ni kuhusu ulemavu wa mkono wake. Akasema aliumwa sana mkono (ulivimba) na alihusisha ugonjwa huo na nguvu za giza. According to him - madaktari walishindwa na hata waganga wa jadi hawakuweza. Ndipo aliporudi tena hospitali akaambiwa inabidi akatwe mkono. Hakuwa na jinsi bali kukubali. Mkono ukakatwa, and there he is! Happily serving the living God. (Nimejaribu kufupisha).
Katika mahojiano hayo hakutaja lolote lililohusisha ulemavu wake na ajali iliyomuua Angela. Labda kama aliruka sehemu ya hiyo habari maana alikuwa anasisitiza mara kwa mara kwamba anaeleza kwa kifupi tu.
Wenye uhakika watuondoe doubts.
Naomba kuwasilisha.