Wimbo Bora ya Maombolezo ya JPM so Far ni Hii ya Rosa Ree, Ya wasafi Sijailewa sana

Wimbo Bora ya Maombolezo ya JPM so Far ni Hii ya Rosa Ree, Ya wasafi Sijailewa sana

Mpaka sasa naona nyimbo zilizotolewa na maomboleza ni nyingi ila hii ya Rosa Ree Kigodo inilize walahi, ya Wasafi sijaelewa sana japo imesheheni wasaniii kibao

Unaionaje Mtu wangu, hii hapa chini:

Hata mimi nimeielewa sana pamoja na ya TOT hao wengine hamna kitu wanaruka makidamakida tu
 
Hivi uzuri ni kutuburudisha au kutuhuzunisha? basi kwa sbb ni msiba ni nzuri imenihudhunisha
 
26 Mar 2021

Tanzania Songa Mbele {Tribute to Magufuli} - UMOJAH BROTHERS GROUP (Official Video)


Tanzania Songa Mbele {Tribute to Magufuli} - UMOJAH BROTHERS GROUP (Official Video) Artists: Innocent Galinoma, Ras Gwandumi, Ras Inno, Ras Mizizi na Pampi Judah Wimbo Maalum Wa Kumbukumbu Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli (RIP).
Source : Boomshot media
 
Magufuli Shujaa - Innocent Galinoma


Source : Boomshot Media
 

GONE TOO SOON PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI

25 March 2021
Vuli Yeni, South African renowned saxophone player



Source : Vuli Yenu
 
Ngoma ya msechu na harmonize ndo naona ziko boma hasa katika viitikio
 
Hii nchi mpaka wanafki muishe ndiyo itaendelea.
Yaani kwako watu kupigwa risasi,kutekwa,kupotezwa,kuporwa mali zao ni mapungufu madogo kwako?

Jiwe siyo kiongozi alikuwa kichaa...afie huko.
Lete ushahidi mbafu
 
Sema hujasikia ya Nyanda majabala au Budagala mwana malonja
 
Back
Top Bottom