Wimbo flan umetend Sana TikTok naomba msaada kuupata

Wimbo flan umetend Sana TikTok naomba msaada kuupata

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Nimejarib Kila namna kuupata lkn wahsika wanaoucheza n hawa
Screenshot_20230628-022714_1.jpg

Sina hakika kama wanaonekana sawasawa
 
Eeeeh👀
Kanawafaa kina dada wenye kalio walau hata kidogo.
Kuna wachina nimeona wamecheza aloo wale watu viuno vigumu balaa, badala watikise kakalio kamoja wao wanasogeza limwili lote.

Wanaume wa kichina wana tabu sana aisee sijui wanafaidi nini kwa wapenzi wao.
 
Ahaaah nimeshtuka ndugu

Tunaomba binti Annie X6 utikise wowooo kidogo.

Ila wachina labda wanafaidi hapo kati
 
Unaitwa Ameyatchi kaimba Mathey.search youtube

Kila la kheri
Yaani nilikuwa nautafuta pia Asante sana jamani nimefurahijee[emoji847][emoji847][emoji56][emoji120][emoji2] asante kwa mleta uzi pia Annie X6
 
Back
Top Bottom