Wimbo flan umetend Sana TikTok naomba msaada kuupata

Eeeeh👀
Kanawafaa kina dada wenye kalio walau hata kidogo.
Kuna wachina nimeona wamecheza aloo wale watu viuno vigumu balaa, badala watikise kakalio kamoja wao wanasogeza limwili lote.

Wanaume wa kichina wana tabu sana aisee sijui wanafaidi nini kwa wapenzi wao.
 
Ahaaah nimeshtuka ndugu

Tunaomba binti Annie X6 utikise wowooo kidogo.

Ila wachina labda wanafaidi hapo kati
 
Unaitwa Ameyatchi kaimba Mathey.search youtube

Kila la kheri
Yaani nilikuwa nautafuta pia Asante sana jamani nimefurahijee[emoji847][emoji847][emoji56][emoji120][emoji2] asante kwa mleta uzi pia Annie X6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…