Wimbo gani ukiusikia unakukumbusha magumu uliyoyapitia?

Ile mbwa iliniroga anyway wimbo wa diamond ukimuona
 
Nacheka huku nikiwaza ni nyimbo gani hizo.....
Na ni msanii gani huyo...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha tu ndugu yangu. Ni nyimbo mchanganyiko ambazo zilikuwa zinanikumbusha jambo flani hivi, .zipo kwenye playlist yangu.
Sasa hivi siwezi tena kusikiliza mziki wowote.
Kiufupi naumwa mwili na roho na sioni matarajio ya kupona.
 
Machozi ya nini jamaa ulikuwaunakula mlo mmoja nini kipindi hicho
 
Machozi ya nini jamaa ulikuwaunakula mlo mmoja nini kipindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…