Wimbo gani ukiusikia unakukumbusha magumu uliyoyapitia?



utakumbukwa daima hayati mzee mwinamila wa tabora

Napendaga Sana nyimbo za asili za mzee mwinamila..
 
Acha tu ndugu yangu. Ni nyimbo mchanganyiko ambazo zilikuwa zinanikumbusha jambo flani hivi, .zipo kwenye playlist yangu.
Sasa hivi siwezi tena kusikiliza mziki wowote.
Kiufupi naumwa mwili na roho na sioni matarajio ya kupona.
Muache aende...!πŸ˜‚
 
Fireboy jealous huu wimbo unatoka nilikua juu ya mawe sio poa
 
Nyimbo za Jud Bucher kama sijakosea jina lake, rege flani hivi, miaka ya 2002, dah acha kabisa
 

Popote ninaposikia wimbo wowote kutoka kwenye hii album. Huwa nakumbuka mbali sanaaa, kikubwa huwa nasemaga Mungu amlaze mahali pema bibi yangu. She's was fighting hard πŸ˜ͺ, hii ndo cassette pendwa kwenye radio yetu ya Panasonic, ilikuwa inatumia battery 6. Mama akija kutoka mjini alikuwa anatuletea boxes za kutosha za battery za National. Ila kijijini kwetu zilikuwa zinapatikana sana Tiger head na Bell
 
Safi sana
 
P funk ft Madee HAYA YOTE NI MAISHA
 
Nipe - goodluck gosbert
 
Asha wa TID, namkumbuka mtoto mmoja wa kimakonde kutokea Tandahimba huko
 
elimu ya mjinga nimajungu Banza stone.. kile kipindi nilisimamishwa kazi ukitizama ndio nilikua nahitaji pesa haswa kuliko kawaida
 
Acha tu ndugu yangu. Ni nyimbo mchanganyiko ambazo zilikuwa zinanikumbusha jambo flani hivi, .zipo kwenye playlist yangu.
Sasa hivi siwezi tena kusikiliza mziki wowote.
Kiufupi naumwa mwili na roho na sioni matarajio ya kupona.
Unahitaji uponyaji Demi? I am here for you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…