Wimbo gani ukiusikia unakukumbusha magumu uliyoyapitia?

Nakei Nairobi inanikumbusha mama yangu 😭
 
Honeyyyyy ya Zuchu -kibuyu mmoja hivi
 
Nina playlist kabisa ila tuanze na
RITA by Marlaw
 
Muda niliopotezaaa hawawezi kurejesha
Madhara ya maumivu hawawezi kufidia aah..! - qchira vs chidbez
 
#One day at The time_Lynda Randle.
Dah Ile mistari mle ndani reminds me on my previous 😒 moment .
,,,#coat of many colors_Dolly Parton
 
Muda niliopotezaaa hawawezi kurejesha
Madhara ya maumivu hawawezi kufidia aah..! - qchira vs chidbez
Hio ngoma kuna siku niliipiga on my way to kujibu tuhuma za kinidhamu kwenye commitee ya watu katili sana, kila mtu alijua mwisho wangu umefika ila kupitia hio nyimbo, nilipata courage ya kuingia mule na kutoboa bila shida yaani. The moment natoka kwenye ile conference room, nili burst into tears, noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…