Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Wapenzi wa Muziki,

Nyimbo gani Imewakaa kichwani leo, na kwanini?

Mimi leo tangu niamke, nausikilizia, "A Rose By Any Other Name, by Teena Marie feat. Gerald Levert (RIP)....


Ni ule wimbo mashuhuri wa mchakamchaka enzi hizo shule:

Idi amini akifa, mimi siwezi kulia/ nitamtupa kagera/awe chakula cha mamba!!!!

Mchakamchaka chinja!!

teh teh tehh!!!
 
Yeeeaaahh...Brazillioano kiboko aisee. Nakushauri ujenge mazoea ya kwenda Fire of Brazil....kuna totoz si mchezo babake....
 
...mtu chake apendacho, hakina ila machoni,
huridhika kuwa nacho, japo hakina thamani,
Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo...
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=5HLkhr-krek&feature=related[/media]
angalia tu.......
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=5HLkhr-krek&feature=related[/media]
angalia tu.......
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=0G685DY8ZNI&feature=related[/media]
 
...mtu chake apendacho, hakina ila machoni,
huridhika kuwa nacho, japo hakina thamani,
Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo...

"Mapenzi hayana kificho, yaingiapo moyoni mwangu!... Mwenye mapenzi haoniiiii! ingawa macho aaanaaayooo!!!" Aah! maneno mazito hayo ya Maxmillian Bushoke ... uko wapi mzee? [media]http://www.youtube.com/watch?v=adKf6G2bOnc[/media]
 
Kibao cha kitambo kidogo, lakini bado cha pendeza masikioni

[media]http://www.youtube.com/watch?v=GSOytQZ7RBw[/media]
vipi huu mate wako
[media]http://www.youtube.com/watch?v=bqqa7xsFefU[/media]
 
Kuna wimbo ulikuwa unaitwa msela wa wale jamaa wa mawingu.....Oya Msela Oya......
 
Tafadhali muwe Waingereza au Waswahili. Katika kiswahili hakuna kitu kinaitwa NYIMBO GANI UNAIKUMBUKA bali wimbo gani unaukumbuka. Hii ni kwavile NYIMBO ni wingi wa WIMBO
 
Shoga leo nisikilizeee ... tili tili tilii
shoga leo kupasheee... tili tili..
na urafiki wetu utakwisha leo..tilii tilii
nakuona una nia mbaya...tilii tilii tilii
unataka nichonganisha na mume wangu... tilii tilii tilii
naona mwisho nitakuja achwaa, uje kunicheakaaa..

Shoga ni wewe uliyesema...tiliii tilii tilii
kwa kuwa mume wangu ni mwana muziki.. tilii tilii tiliii
ananiimba kwenye nyimbo zake.. tilii tilii tilii
na kunifananisha ndege tausi, tausi mwenye rangii eeeh
 
Wimbo ulioimbwa na Upendo Nkone - unaitwa SITAOGOPA

Sitaogopa sitafadhaika.....
Bwana Yesu .....Yupo nami
japo ninapita katika mambo magumu ... Bwana Yesu yupo nami ....


tena wapo watu wengine wapitapo majaribuni ... wanasahau kwamba Mungu yupo .. Mungu hawezi kukuacha uangamie .... kazi yake ni kukusaidia .....

mwite Yesu ataitika . ... yeye yupo kwa ajili yako .... aweza yote mwingi wa huruma .... upendo wake ni mkubwa mno.....

Usiogope, usifadhaike .... Bwana Yesu, yupo nawe .... japo unapita katika mambo magumu ... Bwana Yesu yupo nawe ....

Unahitaji mume .... mwite Yesu, Unahitaji mke .... mwite Yesu, Yesu!
Unahitaji pesa .... mwite Yesu, unahitaji watoto .... mwite Yesu, Yesu!
Unahitaji faraja .... mwite Yesu, unahitaji uponyaji .... mwite Yesu, Yesu!
Unahitaji chochoteeeeeeeeeeeee! MWITEEEEE YESU.
 
kijogoro sina nyumba weh! ntajenga barabarani
ntajenga nyumba ya mawe weh
gorofa ndani kwa ndani.........fiimbo oooh oooh oooh fimbo spesheli
kijaruba cha babu oooh, kijaruba spesheli
mkwaju wa baabu jinga
mkwaju spesheli
 
Haaaahahahahahahahaha
Dah Kali sana

Ila mimi leo ni
Ndumilakuwili by olduvai Band kwa waliokuwepo miaka hii watanielewa tu

Baba kaleta Panyaa Baba kaleta Panyaa
We Uchicheme panya chema chamaki nchanga
Mwenye nyumba hii ni Mmakonde
akitugundua atatufukuza
turudi kwetu nchumbiji...
 
That's what friends are for... Stevie Wonder

remember to....keep smiling.. keep shining. knowing that u can count on shishi......
for good times and bad times......
love it love it
 
Back
Top Bottom