Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Kisura.. tuzungumze basi.. miye natafuta sana kwaya ya Ulyankulu Barabara ya 13 yenye nyimbo za "Samsoni", "Wakati ule wa Nuhu", na "Tuyasome Maandiko"...

mzee mwenzangu katika hiyo kwaya ya ulyankulu barabara ya 13 yaani huwezi kuruka nyimbo.
kuna hiyo moja jamaa anaimba

mtu mkubwa mmoja
aliulizaa akisema mwalimu...
nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa mbinguni

yesu akamwambia mbona unajiita mwema
hakuna aliyemwema ila mmoja ndiye muunguuuu....
 
Kijitonyama Upendo Group-Wimbo TUTAPATAJE KUPONA umenikuna kwelikweli
 
Nimeukumbuka "Sema na Moyo wangu - Kijitonyama Lutheran"
OMG, I miss the live choir...... I'll be there soon tho.
I hope you all had a pleasant weekend.
 
here is "Edita" from Milimani Park Ochestra...

[media]http://media.putfile.com/10-Edita[/media]

Thanks a million SHY huu wimbo umenikumbusha mbali sana, kweli maudhui ya nyimbo za zamani hayapotei kichwani. I wish ningezipata nyimbo hizi kwenye CD, anybody knows how? I'll appreciate.
 
Jamani, what about ule wimbo wa kwaya ya mtoni uitwao LULU.

Ohooo! Lulu iko mbinguni.............

na wimbo wa 'Ahadi ya bwana haivunjiki milele' wa Mary wambui wa Kenya..........
I remember the off tune key of my mum singing those songs.......hahahahahhaha!

Na zile nyimbo za captain Komba kila asubuhi

Mhh.. umenigusa naupenda sana wimbo huu 'LULU' unaweza kuusikiliza YOUTUBE, huwa nafanya hivyo hasa nikikumbuka sana nyumbani.
Kuna nyimbo huwa hazizeeki masikioni mwa wengi na nyingi zinazotajwa humu JF ni zile zilipendwa ambazo ukizikia sasa, utaacha hata kula userebuke...
Jumapili njema.
 
This Too Shall Pass by Yolanda Adams.
A Special Dedication to My Beloved Sis NaimaOmari!
 
This Too Shall Pass by Yolanda Adams!
Its a special dedication for my beloved sis NaimaOmari!
You are in my prayers!
 
London Bridge is falling down,
Falling down, Falling down.
London Bridge is falling down,
My fair lady.

Take a key and lock her up,
Lock her up, Lock her up.

Take a key and lock her up,
My fair lady.

How will we build it up,
Build it up, Build it up?

How will we build it up,
My fair lady?

Build it up with silver and gold,
Silver and gold, Silver and gold.

Build it up with silver and gold,
My fair lady.

Gold and silver I have none,
I have none, I have none.

Gold and silver I have none,
My fair lady.

Build it up with needles and pins,
Needles and pins, Needles and pins.

Build it up with needles and pins,
My fair lady.

Pins and needles bend and break,
Bend and break, Bend and break.

Pins and needles bend and break,
My fair lady.

Build it up with wood and clay,
Wood and clay, Wood and clay.

Build it up with wood and clay,
My fair lady.

Wood and clay will wash away,
Wash away, Wash away.

Wood and clay will wash away,
My fair lady.

Build it up with stone so strong,
Stone so strong, Stone so strong.

Build it up with stone so strong,
My fair lady.

Stone so strong will last so long,
Last so long, Last so long.

Stone so strong will last so long,
My fair lady.

I remebered these Nursery Hit after listening to London Bridge by Fergie.
 
Mi naupenda sana " A new day has come" by Celine Dion
Unanipa raha na faraja ya aina yake unaweza kuusikiliza Youtube
 
Too All The Girls I have Loved Before by Julio Iglesiasis
 
"Kuna wakati nachoka, mimi ni mtu tu, kuna wakati nashindwa, mimi ni mtu, kuna wakati napoteaaaa.. Wa Ephraim
 
Back
Top Bottom