Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

NEEMA ndio umenikaa kichwani kwa kweli. Maana nakumbukwa nilivutwa masikio na mama yangu kwa kuuimba mbele ya watu, I was young by then. She must have thought the lyrics were XXX for my age!!
 
Kuna nyimbo moja ilikuwa inaitwa Stella. I am pretty sure iliimbwa na Hamza Kalala anamuimbia mtoto Stella, mtoto wa kisukuma umelelewa vizuri, yaani Stella alikuwa anapewa sifa nzuri! Ntaipata wapi hii kitu?

Na nyingine ya Hamza Kalala ilikuwa inaenda, "Nimekusamehe lakini sitakusahau, vituko ulivyoonifanyia....

Nitawapa wapi hizi?
 
Arusha Mjini Choir is what my mother loved i would like to find some of those songs
where can one find old christian songs of Arushi Mjini Choir like
Angaza macho ulimwenguni
....

Or any other if any of you esteemed members can remember! Please Saidia

Mi ninazo nyingi sana, Kwaya ya Msasani lakini na ni za Kilutheri, interested?

Katoliki pia ninazo, ila chache.
 
NEEMA ndio umenikaa kichwani kwa kweli. Maana nakumbukwa nilivutwa masikio na mama yangu kwa kuuimba mbele ya watu, I was young by then. She must have thought the lyrics were XXX for my age!!

Huyu Neema inaelekea alikuwa bomba kwelikweli....
 
"Bwana wa Mabwana leo ainuliwe"! nimeuota....
Umenifikisha kwenyewe rafiki ahahahahaha! mpaka nimeukumbuka wimbo wa paulo na sila!!

Nilisoma shule yenye wakimbizi wengi na watu wa kigoma basi walikuwa walokole wengi wao na walikuwa wakikesha na kuuimba wimbo huo wa paulo na sila!!
Paulo na sila waliomba!
Paulo na sila waliomba!
Milango ya gereza ikafunguka!!

Imagine wimbo huo na lafudhi nzito....... wengine tulifikiri ukiimbwa kwa lafudhi nzito basi ndio hisia kibao inajengeka!!
 
Jamani, what about ule wimbo wa kwaya ya mtoni uitwao LULU.

Ohooo! Lulu iko mbinguni.............

na wimbo wa 'Ahadi ya bwana haivunjiki milele' wa Mary wambui wa Kenya..........
I remember the off tune key of my mum singing those songs.......hahahahahhaha!

Na zile nyimbo za captain Komba kila asubuhi
 
Wakuu mimi leo hapa nimekuwa nakumbuka nyimbo za JB Mpiana, ile albamu ya Ndombolo ya Solo......nakumbuka mzee wangu (RIP) aliileta hii kanda kijijini wakati wa Krismasi 1998, basi bwana nyimbo zilivyokuwa tamu ukianzia Ndombolo ya Solo, cavili solitaire, bana lunda etc.......

....Kavali soliteee, saddam Hussein mamaaaa, kavali soliteee....

Si mchezo wandugu
 
WALE WATU BY KHADJA NIN

www.youtube.com/watch?v=C1BtMQyyZpQ

Mbali ya ma inchi yote
Mbali ya Paris au Roma
Kuna watu masikini
Hawa liye hawa ombe
Wana itika tu vile
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Njo vile... kila siku

Waca ile maneno ya bule
Usiji liliye hali yako
We haujuwe umasikini
Hangaliya wale watu
Hawa liye hawa ombe
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala

Waca kabisa
Kuwaza kama weye
Haupashwe kujuwa
Mayisha yao
Juwa na siye
Siye mbali yao
Tuna weza kuwasayidiya
Kila siku
 
wakuu Mimi Leo Hapa Nimekuwa Nakumbuka Nyimbo Za Jb Mpiana, Ile Albamu Ya Ndombolo Ya Solo......nakumbuka Mzee Wangu (rip) Aliileta Hii Kanda Kijijini Wakati Wa Krismasi 1998, Basi Bwana Nyimbo Zilivyokuwa Tamu Ukianzia Ndombolo Ya Solo, Cavili Solitaire, Bana Lunda Etc.......

....kavali Soliteee, Saddam Hussein Mamaaaa, Kavali Soliteee....

Si Mchezo Wandugu

Basi Tutakupa Mashairi Yake Kidogo
 
Here is a link to the song Voiture,you can also see the rest of the videos from the same album from the library on the same website!!Excellent stuff!

[media]http://www.dailymotion.com/ka2samoto/video/x2hka9_voiture-jules-kibens[/media]

Thanks Shy,

Ila naona link haimalizi kufunguka, i'll keep trying........
 
Mi ninazo nyingi sana, Kwaya ya Msasani lakini na ni za Kilutheri, interested?

Katoliki pia ninazo, ila chache.

Kisura.. tuzungumze basi.. miye natafuta sana kwaya ya Ulyankulu Barabara ya 13 yenye nyimbo za "Samsoni", "Wakati ule wa Nuhu", na "Tuyasome Maandiko"...
 
Busy.. sound de ting deh

Holding Firm- Busy Signal

images
 
here is "Edita" from Milimani Park Ochestra...

[media]http://media.putfile.com/10-Edita[/media]

Duh!

Shy you have made my weekend with Edita, I am just as if I am in Mbeya those good days! Thanks a lot,

Njimba
 
Kisura.. tuzungumze basi.. miye natafuta sana kwaya ya Ulyankulu Barabara ya 13 yenye nyimbo za "Samsoni", "Wakati ule wa Nuhu", na "Tuyasome Maandiko"...

Ok.
Nitaangali kama ninazo hizo, majina ya nyimbo sikumbuki vizuri, lakini nitakupa taarifa. Kazi njema.
 
Kisura hata hizo kwaya nyingine miye nimo ziwe za kwaya za Kiinjilisti au za "Mtakatifu fulani"...

Kwa upande wa Katoliki natafuta sana za Mt. Cecilia (Mwenge) na Kanisa Kuu la Mt. Theresa Arusha. Za Kiinjilisti napenda zile za Vijana (Arusha), KKKT-Magomeni, n.k

Nitazipata vipi?
 
Usipate tabu Babu Mwanakijiji, nitakupatia tu. Pambio's je, Mapito Mapito hivi unataka pia? Mwaka huu lazima utakasikie kama si kuokoka.
 
Kisura hata hizo kwaya nyingine miye nimo ziwe za kwaya za Kiinjilisti au za "Mtakatifu fulani"...

Kwa upande wa Katoliki natafuta sana za Mt. Cecilia (Mwenge) na Kanisa Kuu la Mt. Theresa Arusha. Za Kiinjilisti napenda zile za Vijana (Arusha), KKKT-Magomeni, n.k

Nitazipata vipi?

mzee mwanakijiji mzee mwenzangu hizo nyimbo za mtakatifu cecilia mwenge nenda kwenye kanisa lao pale mwenge utazipata tena wameziboresha kwa kuzitia kwenye CD.
 
Back
Top Bottom