Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 142
NEEMA.
Wimbo na DDCA MLIMANI PARK ft.COSMAS CHIDUMULE
kibwagizo;
Sina neno mimi kwakua na jua,
Huyo ni mzazi mwenzio,
Penzi mauwa,(penzi upepo)
Iko sikuee
Nitakuja kwa wazazi wako
Nitakuja leta barua ya uchumba mie
Nilikua naso thread hapo kwenye mahusiano na mapenzi kuna Ndg.kaandika beti zake mbili alafu hajui ni wimbo gani huu