Tanzania, Tanzania
nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania
jina lako ni tamu sana.
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mamawe,
Tanzania, Tanzania
ninapo kwenda safarini.
Kutazama Maajabu, biashara nayo Makazi.
Sitaweza Kusahau Mimi, Mambo mema ya kwetu kabisa,
Tanzania, Tanzania
nakupenda kwa moyo wote
I DEDICATE THIS TO ALL UNIVERSITY STUDENTS ON BAIL