Tanzania, Tanzania
nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania
jina lako ni tamu sana.
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mamawe,
Tanzania, Tanzania
ninapo kwenda safarini.
Kutazama Maajabu, biashara nayo Makazi.
Sitaweza Kusahau Mimi, Mambo mema ya kwetu kabisa,
Tanzania, Tanzania
nakupenda kwa moyo wote
I DEDICATE THIS TO ALL UNIVERSITY STUDENTS ON BAIL
rafiki, tunalingana sana kwa vionjo vya nyimbo, huu ni wimbo wangu pekee ambao huwa na uimba kama sala ya jioni. I dedicate this song to all those who ever got to know me!!!
Naukumbuka sana wimbo wa Justine Kalikawe uanzao na maneno, Sote ni ndugu, sisi sote ni ndugunk, ni muda mrefu sasa najaribu kujifunza maneno lakini sijayapata kwa hukakika kama kuna yeyote aujuaye, tafadhali msaada!! natanguliza shukrani zangu...
....Hata lapa la mguu lanishinda kila nitembeapo jua lanichoma.
Kitanda changu nyumbani ni cha kamba kunguni wamejaa waningoja mimi.
Kipande cha papa cha ela kumi kwangu mboga ya siku tatu ....
Yaani iyo nyimbo ni ya zamani sana na nimejalibu kuitafuta kanda yake bado sijafanikiwa kama kuna mtu anayo na anaweza kuitundika katika JF basi afanye hivyo ni kibao ambacho kinaniliwaza sana sana na kunifanya nikumbuke ,hata hivyo sijui kama nimekikumbuka sawasawa na nimekiandika kilivyo ,ila kama pia wapo wanaokikumbuka kwa urefu na wana upeo wa kukiandika basi wafanye hivyo ,dah hii nyimbo mwisho kwa wakati wake. Na cjui kama RTD wanacho ?
If I were a boy even just for a day
I'd roll out of bed in the morning
And throw on what I wanted
And go drink beer with the guys
And chase after girls
I'd kick it with who I wanted
And I'd never get confronted for it
'Cause they stick up for me
If I were a boy
I think I could understand
How it feels to love a girl
I swear I'd be a better man
I'd listen to her
'Cause I know how it hurts
When you lose the one you wanted
'Cause he's taking you for granted
And everything you had got destroyed
If I were a boy
I would turn off my phone
Tell everyone it's broken
So they'd think that I was sleeping alone
I'd put myself first
And make the rules as I go
'Cause I know that she'd be faithful
Waiting for me to come home, to come home
If I were a boy
I think I could understand
How it feels to love a girl
I swear I'd be a better man
I'd listen to her
'Cause I know how it hurts
When you lose the one you wanted
'Cause he's taking you for granted
And everything you had got destroyed
It's a little too late for you to come back
Say it's just a mistake
Think I'd forgive you like that
If you thought I would wait for you
You thought wrong
But you're just a boy
You don't understand
And you don't understand, oh
How it feels to love a girl
Someday you wish you were a better man
You don't listen to her
You don't care how it hurts
Until you lose the one you wanted
'Cause you're taking her for granted
And everything you had got destroyed
But you're just a boy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.