Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Mkuu kweli hujaelewa kitu kutoka kwenye iyo hit song ata yale masauti amna tu
wimbo ule labda uwe unahudhuria mazoezi yao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kweli hujaelewa kitu kutoka kwenye iyo hit song ata yale masauti amna tu
Video ipi ilianza kutoka??# Ya utanipenda sasahivi ina zaidi 8k wakati nagharamia hata 500 haijafikisha kwenye instagram

Mkuu kweli hujaelewa kitu kutoka kwenye iyo hit song ata yale masauti amna tu
Mm naona ikiachana na ushabiki nagharamia inakimbiza sana kitaani yaani ndo habari ya mjini kwa sasa coz kila mtu a nagharamia ama nn?
Ipo njian mkuu stay tunenipe nidaulod mkuu.
![]()
Hii ndo yakufunga mwaka mkuu