Wimbo gani unakimbiza kitaani kati ya hizi nymbo mbili?

hata ukiangalia mrejesho kutoka kwa jamii utaona nyimbo ya utanipenda ndo imekamata acha tanzania tu ni east africa na africa kwa ujumla soma coments youtube, blog za kenya , uganda, rwanda, nigeria, south africa na ghana utaelewa ninachosoma, nyimbo ya nagharamia imetoboa na kuishia mseto east africa ya citizen
 
# Ya utanipenda sasahivi ina zaidi 8k wakati nagharamia hata 500 haijafikisha kwenye instagram
 
nagharamia ndo nn mbona cjawah isikia? chibu dangote baba T Roho ya zari,mtoto wa mama Naseeb,rais wa Tandale nyoosha baba...
 
Kuna wimbo nimeusikia ukipigwa Mara kwa Mara Leo kule laliakoo, unanza hivi: Sasa visenti sina narudi Tandale, huu ndiyo utanipenda au? Ukweli huu wimbo unapigwa Sana.
 
Nagharamia inakimbiza

Je utanipenda ni nzuri ila imefunikwa na nana
 
Shilole Clasic

 
Last edited by a moderator:
binafsi shabiki wa kiba ila hii Utanipenda ni habari nyingine
 
Mm naona ikiachana na ushabiki nagharamia inakimbiza sana kitaani yaani ndo habari ya mjini kwa sasa coz kila mtu a nagharamia ama nn?

Haaaaaaaa


Buwaaaaaaaaa


Yaani ukafikiri umejibu na ile ID yako ingine kumbe ukachemshaaaaaaaaaaa


Eeeeeeeehhhhhhhhh
 
Usisahau kuwahi Dar live kesho maana ukichelewa utakosa nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…