Chuna buzi ya Shilole ndio habari ya mjini
Hivyo ndo vitu vinavyomduwaza Ally jamani... as utaanzaje kulinganisha nyimbo ambayo ilikuja na mafuriko ambayo kidogo yamsombe Dk mwaka ndani ya siku mbili tu...
Hata ally kiba anajua hilo...hyo nyimbo ya nagharamia wanaifahamu wachache sana tena wanaofatilia sana muziki ila Utanipenda lazima ujue tu hata kama hauskilizagi sana muziki
NAgharamia huku kitaa ndo habar ya mjn kwenye ma boda boda ndo usiseme
Ukiacha sauti za waimbaji, Lyrics za nagharamia ni mbovu kabisa .Mistari ipo simple sana hata asiyejua mziki anaweza kuandika.
# Ya utanipenda sasahivi ina zaidi 8k wakati nagharamia hata 500 haijafikisha kwenye instagram
Video ipi ilianza kutoka??
I hope unafahamu what happens to average views kadri siku zinavyoenda!!!!
Mm naona ikiachana na ushabiki nagharamia inakimbiza sana kitaani yaani ndo habari ya mjini kwa sasa coz kila mtu a nagharamia ama nn?
Tatzo ushabiki but nagharamia naona ndo inakimbiza sana kitaani au ww hutokagi eeeeh
Tatzo ushabiki but nagharamia naona ndo inakimbiza sana kitaani au ww hutokagi eeeeh