Wimbo gani unaupenda zaidi?

Wimbo gani unaupenda zaidi?

Amada umelewa-Offside trick................ teh teh
 
Beat it.. By Michael Jackson. Mashairi na vyombo ni dawa tosha kwangu hasa lile Gitaaaaa lenye kiherehere... Tafadhalini upitieni kidogo kisha mrudi kuniambia. Auto repeat ndo zangu hapo!
 
Beat it.. By Michael Jackson. Mashairi na vyombo ni dawa tosha kwangu hasa lile Gitaaaaa lenye kiherehere... Tafadhalini upitieni kidogo kisha mrudi kuniambia. Auto repeat ndo zangu hapo!
<br />
<br />
nitautafuta jiöni mkuu.
 
You Can't Hold the Touch by Buster Rhymes, Q-Tip and Chauncey Black
 
Mimi nataka ushirika na wewe Roho - Christine Shusho
 
Rais wangu kigeugeu
paka wangu kigeugeu
bibi yangu kigeugemwimbaji ????
 
''CCM nambari wani''- Kepteni John Komba.
 
Back
Top Bottom