Wimbo gani unaupenda zaidi?

Wimbo gani unaupenda zaidi?

Tazama Ramani Utaona Nchi Nzuri,
Yenye mito na mabonde.........
 
baisho i lov u baby ze baby to ze saa ze saa tuze yona ze yona tu ze mii ze mi tuze ww
 
kuku kapanda baiskeli..bata kavaa raizoni akikutolea polista jasho la pamba lakutoka....
 
shout to the Lord-maranatha
associé-fally ipupa
 
Mi huwa naupenda love doesn't ask why wa celine dion ingawa pia kuna mingine nayoipenda ila huo kwa ujumla unanisisimua sana
 
Hapa jamvini hadi muda wabana pua wa kibongo siwaon?. Nyimbo zao hazina wapenzi?
 
kosa la marehemu - uswahilini matola. Ina nifanya nikumbuke far sana ukizingatia now day ndo ngoma imetake place kuliko wakati hili track linasumbua.
 
Mama usinione kibonge nimenyonya ziwa lako, I mean Dr Remmy song mama.
 
Back
Top Bottom